Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

Hot issue JF kwa sasa ni ufisadi ndani ya CDM, haya mengine hayana mashiko kwa sasa

Hot issue inabatizwa jina au ijitokeza na kuongelewa kwa uzito wake kwa jinsi inavyotazamwa na kikundi fulani cha watu?
 
Haahaa basi Mkapa anautani mbaya sana, tena kuliko binadamu yeyote duniani, yani chama kimemwamini aende Arumeru yeye kumbe kila kitu ni utani huko??
 
Kwa hizi siri za kifo
cha mpendwa wetu
kwamba ALIULIWA
NA MKAPA, naanza
rasmi kuamini JULIUS NYERERE NI MTAKATIFU. Na bado me yatakuja
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.
shida ya kuzaliwa na wazazi ambao wamelowea mjini na kuwatelekeza wazazi na ndugu zao huko vijijini! tafuta ndugu zako kijana,achana na mambo ya kizungu.
 
Hot issue JF kwa sasa ni ufisadi ndani ya CDM, haya mengine hayana mashiko kwa sasa

Nyinyi mnahangaika na Chadema kwa kuwa mnajifanya hamuijui nguvu ya chadema, huwezi iangusha chadema kwa hoja dhaifu, na chadema tunajua kuwa kuna kundi kubwa la watu wa aina yenu mnaotamani sana anguko la chadema. Kwa kulijua hilo, Chadema ndiyo kwanza inajidhatiti zaidi kwa kufanya kila jambo kwa umakini mkubwa ili msije pata pa kusemea. Kwa kweli tunashkuru uwepo wenu mana unatufanya tuwe makini zaidi siku hadi siku.

Na katika hili tumefanikiwa na ndo mana hoja zenu kila siku zinakosa mashiko na ushahidi na zinaishia kuwadhalilisha ninyi wenyewe mnaotokwaa povu kwa hoja zakibabaishaji na zakulazimishia. Wananchi wanatumia hoja zenu dhaifu kama kipimo cha kupima how your brains process information, kwa bahati nzuri wanagundua tu kuwa hawa ni wale jamaa zetu na ndo mana hata mkibadili ID mnajulikana kirahisi mana mnakuwa hamja overhaul brains zenu, ambazo kimsingi zimeshindwa kusoma needs za mioyo ya Watanzania.

Nawashauri badala ya kupambana kuichafua chadema ambayo kimsingi ni kazi ngumu sana kwa aina ya hoja mnazozitoa, mngetumia nguvu hiyo kukibadilisha chama chenu kibadilike, kiwe na maadili, kitimize ahadi na kijirejeshee heshma na mvuto kwa jamii. CCM hakiweze heshimiwa kwa anguko la chama cha upinzani bali kwa kubadilika na kurejea kwenye njia iliyo bora. Jifunzeni siasa za wenzenu USA/UK. Ambapo upinzani haumaanishi kuchafuana na kutukanana kama mnavyofanya ninyi na siasa zenu uchwara (Aziz R, 2011)
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.

kama unaona baba wa taifa si muhimu sana mbona mkapa hakuja kwenu kuomba kuwa mwanaukoo,kawaandikia barua wengine..
Ukoo wenu hauwezi linganisha na baba wa taifa
pili laana ya kumuua baba wa taifa itamfuata mkapa kila aendako.. Ni mlaaniwa! Kuomba msamaha hakutamuondolea hiyo laana..
Kama na wewe ulishiriki jua hivyo..mumelaaniwa kwa hilo zigo la dhambi!
 
so shame kwa rais mstaafu kusimama mbele ya kadamnasi ya watu na kuongea mambo mazito kisha baadaye kudai alikuwa anatania. Thats why mambo mengi ya seriksali hii pia yamekaa kimzahamzaha. Mungu na atuepushie mbali na watawala dhalimu kiasi hiki.
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.

Siku nyingine uwe unavaa nguo unapotoka nje. Mkapa sasa hivi ndiye anayejutia kwanini alisema vile maana hana hoja ya kuiendeleza. Wewe unakurupuka uchi kama mtu aliyepigwa na bumbuwazi. Tuambie Mkapa alikuwa na sababu yoyote ya kusema kuwa hamfahamu Vicent Nyerere kama mmoja wa familia ya Nyerere? Vicent Nyerere amejieleza kwa vipi ni mmoja wa familia ya Nyerere, sasa Mkapa ajieleze anaingiaje katika familia ya Nyerere na kwanini alilazimisha Mwl. Nyerere akatibiwe nje ya nchi kinyume na utashi wa wanafamilia?
 
Wako waliotumwa kuchonganisha hapa ila wenye upeo tumewagundua wajitoe mapema hatutaki pumba hapa:thinking:
 
Hot issue JF kwa sasa ni ufisadi ndani ya CDM, haya mengine hayana mashiko kwa sasa

naona mpaka mapovu yanakutoka kwa kulazimisha mada zisizo na mashiko..hapa Jf watu wanaakili zao peleka pumba zako fb
 
Haahaa basi Mkapa anautani mbaya sana, tena kuliko binadamu yeyote duniani, yani chama kimemwamini aende Arumeru yeye kumbe kila kitu ni utani huko??
Nyie wenye majina ya Nyerere inabidi tuwe tunawauliza kama mna barua za maombi ya ukoo.
Yericko Nyerere

Senior Member Array Join Date : 11th May 2011
 
Hot issue JF kwa sasa ni ufisadi ndani ya CDM, haya mengine hayana mashiko kwa sasa

Hot issue kwa nani? ji Hotishe mwenyewe.........Mkapa kupewa mdomo mkubwa na Mungu.....haikumaanisha aongee maneno ya hovyo kwa kum-eject mtu katika ukoo wake. Hivyo yana mashiko..........kama hayana mashiko anaomba msamaha ili iweje..........aliyekosea nahangaika kuyamaliza wewe unasema hayana mashiko.......nyie tatizo lenu huwa hamuwaambii ukweli hao wakubwa zenu..........mkiulizwa mnasema shwari wakati kuna shari!!!! Ndio maana wewe si Mtanzania.
 
Aisee, usilolijua ni kima usiku wa Kiza. Kumbe BWM aliandika barua kuomba kuwa mwanafamilia ya Nyerere? Maswali magumu ya kujiuliza ni haya yafuatayo:

1. Ni nani muasisi wa wazo hilo?
2. Je, alifanya hivyo kwa hiari au aliambiwa aandike maombi?
3. Je motive ya kuomba kuwa mwanafamilia ni nini?
4. Na kwa wanaofahamu what are the criteria and conditions?
5. Je unaweza kulifanya hivyo katika familia yoyote?

There are so many questions than answers.

ili ahudhurie vikao na kuzima mjadala wa kifo cha baba wa taifa
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.

Hapana Mkapa ndo kaanza. Sasa Bwana mdogo anajibu. Huyu bwana hafichi mambo. Nakumbuka tulikuwa naye kwenye kampeni yake musoma ni kweli huyu bwana mdogo hana siri. na kweli ataendelea kusema. Mkapa kweli ni muaji. Angalia mauaji ya Zanzibar.
 
aliyeanza kusema maneno ni bwm sasa vincent anajibu

achana nae huyo asiyependa kutafakar, ajualo kupingana na ukweli. mkapa -msumbiji kwao atajuaje suala la ukoo wa nyerere bila wanafamilia!nyerere + mwinyi ndo bora
 
Back
Top Bottom