Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

vicent achana na mambo ya mkapa na mwl nyerere, toka umeanza siasa leo ndo umeona hy ndo karata ya kukufanya wewe na chama chako mshinde jimbo la Arumeru?.. hata mm binafsi sikutambui wala taifa zima kama wewe ni mtoto wa nyerere unatutisha na ubaba mdogo? Wacha dharau zako wewe, wakina makongoro na akina Rose mbona wametulia?. na ungekuwa umezaliwa na hayati mwl nyerere wewe cjuwi nadhani pangefanana na kongo hapa

Kwanini Mkapa alimuuwa Nyerere ?
 
I dont see the need for VN to continue with this matter
 
Hii akili au matope, eti alikuwa anatania, anatania yupo jukwaani akiongelea mambo serious kama yale?
Hapa nina wasiwasi isijekuwa hata hizo ahadi zao kwenye kampeni zao nazo ni utani mtupu..
Mtu mzima hofyoo kabisaa.. Alaaah
Haya tukubali kuwa BWM alikuwa ANATANIA! Inaonesha KILA ALICHOKISEMA siku hiyo ALIKUWA ANATANIA! CCM na utani bwana! Kwamba walimshtaki SIYOI kwenye Kamati KUU yao kabla ya kupitishwa, WALIKUWA WANATANIA! Hivi WANATANIA kwa kiasi gani wanapoingoza Tanzania? WANATANIA.....
 
Mkapa anavuna alichopanda..na kwa kweli nadhani inamstahili kabisa.
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.
..Sasa si ungemshauri Mkapa ampuuze kama hana hoja? we zuzu nini? Vicent anajibu tu na wala si muanzisha hiyo hoja ya kujivunia utoto wa Nyerere.
 
kwa hiyo vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea kumchafua mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.
unajua unanikera kwakua ukweli unaujua alafu unajifanya kutetea
 
Hot issue JF kwa sasa ni ufisadi ndani ya CDM, haya mengine hayana mashiko kwa sasa
Hehehe! Wachekesha weye, ingekuwa ni babako kauliwa na FISAdi Mkapa ungesema hayana mashiko? Huna hata aibu!
 
Kwanini Mkapa alimuuwa Nyerere ?

Wewe na vicent mna ushahidi gani kama mkapa alimuua nyerere?. Au mnataka kulitia doa Taifa kisa vicent hakutambuwi mzee mkapa., kubali uc kubali wewe cyo familia ya nyerere labda uko wa nyerere na kama ukoo2 hata wasukuma pia wanaukoo na nyerere lakini cyo familia ya nyerere. Na hilo jina la nyerere mbona umelikomalia sana' wakati hata makongoro halitaji sana kwenye harakati zake za kisiasa? Au una mkana baba yako joseph? Usiwe maskini wa sera na hoja. Muache mzee mkapa aonyeshe njia ya maendeleo ktk taifa hili bd tunamhitaji usimchafue na kama una ndoto za kuwa nyerere wa pili basi hy cyo njia muafaka kuwa na adabu wewe.
 
mbona zege limeshamgandia? Asubiri tu maumivu ya nyongeza wakati wa kulibandua

na zege huwa halilali,...kudadadeki kila kukicha tuko nae mpaka mpaka tarehe moja.alafu ukitaka kujua jamaa ni *****,utaombaje ukoo??inamaana ameukana wa kwake sio?nisaidieni jamani labda mimi ndio sielewi.alakini hilo dubwana halitaki kabisa mazoea na wamakonde wenzake ndio maana kakimbilia kujenga lushoto ndio maana huwezi sikia m.k.a.p.a yupo mtwara kapumzika yeye ni machame na lushoto.alafu machame ndio zaidi,asipoenda yule mama anavunja mguu mwingine,tena unaweza kuta tayari kwani sikuhizi yupo na mkongojo full time.chezea chadema wewe utajuta kuzaliwa,subiri tuchue kama hatujakurudisha mtwara na mandolini,nyambaf..
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.

Kwa Upande Wangu Huyo Muheshimiwa Mbunge ana Haki ya Kutetea Hoja Yake!! Kwani si busara kwenye Kampeni mtu kufanya personal attack!! Alichofanya Mkapa ni personal attack kwa hiyo alikuwa Tayari kwa lolote!! Na linalofuata ndio Lolote!! Je Mzee Mzima amejiandaa?? Kwani alichofanya Mheshimiwa ni siasa ambazo sio za kistaarabu!! Mwaache Alinywe kwani amelikoroga!!
 
busara na uvumilivu wa mtu huonekana anapokasilishwa au kuchukozwa,vicent unapimwa busara na uvumilivu wako na watanzania sio na wana arumeru tuu, ukikaa chini na kutafafari haya utaamua kuachana na hii hoja au kuiendeleza. kilala heri katika kampeni.
 
Kama Che-N'kapa alisema kuwa Vincent siyo mwanafamilia ya Julius Nyerere alimaanisha familia ipi? Nucleus family ya Kambarage (yaani Mama Maria na watoto wake) au extended family ya Kambarage, ambayo inahusisha watoto wa siblings wake, kama Josephat na Joseph na wale wa wake wengine wa Chifu Burito, kama vile CHief Wanzagi Nyerere (RIP) wajukuu etc wa YEYE Kambarage?

Allegations za Vincent kuwa Che-N'kapa alihusika/alimuua Mwalimu zina uzito mkubwa sana. lakini kwa wale ambao wanamfahamu baba yake Vincent, Marehemu Josephat Kiboko Nyerere, tunaweza kuhisi kuwa huenda na yeye hako ka-trait kalimpitia kidogo. It was an open secret kuwa Mzee Kiboko alisumbuliwa na ugonjwa wa akili. So I take Vincent's allegations with a pinch of salt
 
Kwa ni yeye amewahi kutangaza au kujigamba kwamba ni mwanafamilia ya Nyerere : huyo baba yenu Mkapa aliyetaka kumshusha hadhi kumfanya mwanaharamu mumuonye kama alikwenda huko akampa ubani wakati wa kifo cha baba yake ambaye alikuwa rafiki Mkapa mwenyewe atafanyaje swala la ukoo wa Vicent kuwa ni hadidu rejea za Kampeni CCM wote ni matahira tuu ndio maana nchi inauzwa kama njugu upuuuzi mtupu kwa raisi kujishusha kiasi hicho
Kwa kifupi alioongea BWM ni umbea! Raisi mstaafau kawa mmbea! Nina hakika asingethubutu kuongea haya kama Mwalimu angekuwa hai.
 
nadhani uelewa wa huyu vicent ni mdogo sana,ndo maana anatueleza mambo ya msiba wa baba wa taifa kitu ambacho hakina hata maana kwa watanzania kwa kuwa amechelewa kutueleza mambo haya leo ni zaidi ya miaka kumi tangu afariki baba wa taifa
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.
Weweeeee acha kuchemkaaa!
 
Swala la kutomfahamu mtu au kutofahamu uwepo wa kitu hakifuti uwepo wake. Mfano mtu asipofahamu kama mlima Kilimanjaro upo , hakuwezi kuuondoa mlima huo katika uso wa dunia. Rais Mstaafu ndugu Benjamini Wiliam Mkapa kutomfahamu Vicent Nyerere kama ana nasaba na ukoo wa Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere hali kadhalika hakumfuti Vicent katika ukoo ule. Sasa wasiwasi wa Vicent unatoka wapi? Binafsi ubaya sijauona. Jina si jambo la maana sana bali matendo na mchango wako kwa jamii ndiyo jambo la muhimu. Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakumbukwi kwa kuitwa Nyerere bali kwa mchango wake kwa Taifa la Tanzania.
Vicent hana jipya la kwake zuri, bali anataka kupitia jina la Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere apandie ngazi. Ndiyo maana kwake affiliation yake na jina la Nyerere ni jambo muhimu la kufa na kupona hata anatamani kumtoa roho Ndugu Benjamini William Mkapa. Anataka dunia imuone Vicent kama Nyerere pasipokuwa hata na chembe ndogo ya Nyerere halisi. Mwalimu alikuwa na busara na hekima. Aliheshimu wakubwa na wadogo wa bara na pwani. Kuwa na mtoto wa uko wake anayejenga hoja dhaifu kama Vicent ina tia shaka kama kweli ni ukoo uleule ambao wote tunauheshimu kwa kuzaa chema cha Africa, Nyerere alijenga hoja nzito sio za kulilia jina la ukoo bali utu na uAfrika wake.

Kama Mkapa ni kweli hakufahamu kama Vicent ni wa ukoo wa Nyerere sioni kosa. Kwani kuna ulazima gani kumfahamu Vicent. Hata kama aliwahi kutambulishwa, lakini pia kuna kusahau. Kilichotakiwa ni kukumbushana tu wala sio kugombana na kutoleana maneno ya kashifa. Kusahau ni utu na hakuna mtu asiyesahau. Mkapa akiomba msamaha itakuwa ni kuanua ngoma juani tu, lakini hakuana umuhimu na haitakuwa anaomba kutoka moyoni ila tu dont argue with a fool people might not notice the difference. Lakini pia Mkapa anaweza kunyamaza tu, akavumilia maana yeye ni mzazi na watoto wakati mwingine wanaweza kukunyea. Utanawa na kuendelea na maisha. Wenye hekima watajua choya na pumba.

Unapotoa hoja hata kama ni za kumchukia mtu basi jifunze jambo moja kwamba wanaosoma mitandao hii ni watu wanaojua kufanya analysis ya kile unachozungumza. Kimsingi hata Vincent asingejibu chochote bado ukali wa hoja hii ni kwamba Mkapa ni MWONGO katika hili. Labda sasa wewe ndiyo tukuulize wasiwasi wako ni nini jamii inapojadili UONGO wa Mkapa.

Hoja kuu ya Vincet ni kwamba hatutakiwi kuwaamini viongozi ambao hawaoni aibu kutamka uongo kwa kitu ambacho kiko wazi. Kwa kifupi ni kwamba Mkapa kamrahisishia Vincent na kila mtanzania sababu ya kutamba barabarani kwamba kumbe Mkapa ni mwongo kwa mambo mengi na mojawapo alilotuthibitishia ni hili la kujaribu kudanganya kuhusu ukoo wa watu alioenda kujipendekeza kwa kutuma ombi la kujiunga kwa barua.

vicent achana na mambo ya mkapa na mwl nyerere, toka umeanza siasa leo ndo umeona hy ndo karata ya kukufanya wewe na chama chako mshinde jimbo la Arumeru?.. hata mm binafsi sikutambui wala taifa zima kama wewe ni mtoto wa nyerere unatutisha na ubaba mdogo? Wacha dharau zako wewe, wakina makongoro na akina Rose mbona wametulia?. na ungekuwa umezaliwa na hayati mwl nyerere wewe cjuwi nadhani pangefanana na kongo hapa

TUmia akili yako kutambua kwamba Mkapa ndiye aliyeanzisha haya na kinachotokea ni majibu ambayo ni halali yake.
Ni Mkapa niye anatutishia kujifanya anaujua zaidi ukoo wa Nyerere kuliko hata wanavyojijua wao wenyewe.

Wewe na vicent mna ushahidi gani kama mkapa alimuua nyerere?. Au mnataka kulitia doa Taifa kisa vicent hakutambuwi mzee mkapa., kubali uc kubali wewe cyo familia ya nyerere labda uko wa nyerere na kama ukoo2 hata wasukuma pia wanaukoo na nyerere lakini cyo familia ya nyerere. Na hilo jina la nyerere mbona umelikomalia sana' wakati hata makongoro halitaji sana kwenye harakati zake za kisiasa? Au una mkana baba yako joseph? Usiwe maskini wa sera na hoja. Muache mzee mkapa aonyeshe njia ya maendeleo ktk taifa hili bd tunamhitaji usimchafue na kama una ndoto za kuwa nyerere wa pili basi hy cyo njia muafaka kuwa na adabu wewe.

Unataka kutuambia kuwa Mkapa kutuonyesha anavyoufahamu ukoo wa Nyerere ndiyo njia ya maendeleo???!!!.

busara na uvumilivu wa mtu huonekana anapokasilishwa au kuchukozwa,vicent unapimwa busara na uvumilivu wako na watanzania sio na wana arumeru tuu, ukikaa chini na kutafafari haya utaamua kuachana na hii hoja au kuiendeleza. kilala heri katika kampeni.

Kitendo cha kuchokozwa kufuatwa na kitendo cha kujihami. Hivyo busara ni njia yoyote inayokomoesha uchokozi wa mchokozi.

Hivyo, mtu akikuingizia kidole sehemu zako za siri halafu ukaishia kukenua meno kwa furaha na unasema hiyo ndiyo busara basi hiyo ni kwa mujibu wa uelewa wako
 
Hot issue JF kwa sasa ni ufisadi ndani ya CDM, haya mengine hayana mashiko kwa sasa

Sounds hypothetical unless you prove otherwise. If you have facts presents them before the court for necessary and practical action by relevent authorities.
 
nadhani uelewa wa huyu vicent ni mdogo sana,ndo maana anatueleza mambo ya msiba wa baba wa taifa kitu ambacho hakina hata maana kwa watanzania kwa kuwa amechelewa kutueleza mambo haya leo ni zaidi ya miaka kumi tangu afariki baba wa taifa
Nafikiri wewe humjui baba wa taifa na huelewi kwa nini watu wanahangaika na jina lake.
 
Back
Top Bottom