Vibwetere wameibukia Tanzania!!

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
Baadhi ya viongozi wa kilokole (pentekoste) wamewazuia waumini wao kutumia dawa za maralia huku wakichoma moto vyandarua vilivyogawiwa kwa wananchi. kama hilo halitoshi wengine wamezuiwa kufanya tendo la ndoa na waume ama wake zao, ikidaiwa kwamba tendo hilo ni ovu na limekatazwa na Mungu!
Source: Majira na Radio Kwizera
 
Ni sawa tu wacha wafe na malaria kwa maana wabongo wa leo ni watu wa kutafuta ISHARA na MIUJIZA na si kusoma na kuamini neno.
 
Back
Top Bottom