Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Mashahidi wa madhabau ni kina nani na wanawepo baada ya madhabau kukamilika au wakati unaanza kujenga madhabau?
Na madhabahu inajengwaje, mfano naweza amka asubuhi kesho nikajenga madhabau?
Simple altars unaweza amka asubuhi na uka point sehemu moja kuwa ni sehemu yako ya kuwakilisha hoja zako mbele za Mungu na ukaweka na chombo chako cha sadaka tayari hiyo ni adhabau. Mashahidi wa madhabu au tunaita watchers ni aina ya malaika ( heavenly being ) huchukua record ya kila tukio linalo fanyika
 
Focus yetu ilikua kwenye madhabahu.....sasa umeshaeleza component za madhabahu....sasa mi nahitaji kujua ukiacha hizo major component kipi kingine cha kuwepo....mana kwnye madhabahu za Giza naonaga watu wanaweka vitu vingi mfano....mafuvu ya watu...mishumaa....mapazia ya rangi nyekundu na nyeupe.....vibuyu and etc ....vipi katika madhabahu ya Kumpendeza Mungu na kukaribisha uwepo wake........vitu gn vinavotakiwa kuwepo pale ukiacha hizo component tano ulizotaja
Unahitaji neno la Mungu, na Roho wa Mungu, mahala pa kuwekea sadaka yako.
 
Simple altars unaweza amka asubuhi na uka point sehemu moja kuwa ni sehemu yako ya kuwakilisha hoja zako mbele za Mungu na ukaweka na chombo chako cha sadaka tayari hiyo ni adhabau. Mashahidi wa madhabu au tunaita watchers ni aina ya malaika ( heavenly being ) huchukua record ya kila tukio linalo fanyika
Sakada inayopokewa haraka ni ipi na itakaa kwenye chombo muda gani?
Mfano nimetoa sadaka ya damu ya kuku 🤭
 
Focus yetu ilikua kwenye madhabahu.....sasa umeshaeleza component za madhabahu....sasa mi nahitaji kujua ukiacha hizo major component kipi kingine cha kuwepo....mana kwnye madhabahu za Giza naonaga watu wanaweka vitu vingi mfano....mafuvu ya watu...mishumaa....mapazia ya rangi nyekundu na nyeupe.....vibuyu and etc ....vipi katika madhabahu ya Kumpendeza Mungu na kukaribisha uwepo wake........vitu gn vinavotakiwa kuwepo pale ukiacha hizo component tano ulizotaja
Pia kila kitu unacho kiona pale kwa hizo za upande wa pili ni object ambazo zipo attached na aina ya spirit fulani. Tofuati sana na Mungu Mkuu alie hai. Katika madhabau takatifu, unahitaji neno la Mungu, unahitaji Roho wa Mungu, na mahala pa kuwekea sadaka. Ila kuna vitu vya ziada vinavyo atract angel unaeza ukaviweka ila unaviweka wakfu kwa Mungu kabla ya kuvikweka sehemu husika , moja wapo uvumba, kuna gold n.k
 
Hapana sina maelezo mengi lakini kuna kila aina ya malaika anae deal na issue za uhitaji wa mwanadau. Ila njia ya ku provoke malaika ni madhabau , maombi, na kumuelewa guardian angel wako vizuri kwasabau huyu ndio hufanya kazi ya ku invite malaika wengine katika maisha ya mtu husika
Hapa nimepapenda,umetaja Madhabahu,Maombi na Gurdian Angel kuwa ukisimama vizuri utapokea hitaji lako,kwani itasaidia kuestablish connection na malaika wengine mpaka wale ambao wanye hitaji lako...
 
Sakada inayopokewa haraka ni ipi na itakaa kwenye chombo muda gani?
Mfano nimetoa sadaka ya damu ya kuku 🤭
Sadaka unapoweka mbele ya madhabau, hupokelewa kwa maelekezo na hutoka hapo kwa maelekezo, maana ukisha kabizi sadaka yako, tayari umiriki hubadirka na huwa kwa yule ulie mtolea sadaka na ndio mwenye maelekezo pa kuipeleka au itumikaje au iende wapi lakini pia inaweza potea tu baada ya kuiweka. Zamani walitukia wanyama .. Mungu alikuwa ana zilamba kwa moto mtakatifu 😀😀😀.

Sadaka inayopokelewa kwa haraka zaidi ni ile ambayo umeotoa kutoka na maelekezo ya Roho, pili ni ile sadaka inayo pata atention kubwa mbinguni. Sadaka haina kanuni.. mkuu unaeza toa jero ikapata atention kubwa kuliko buku 10 ni mambo zaidi yanahitaji kuongozwa na Roho na sio akili zaidi
 
Simple altars unaweza amka asubuhi na uka point sehemu moja kuwa ni sehemu yako ya kuwakilisha hoja zako mbele za Mungu na ukaweka na chombo chako cha sadaka tayari hiyo ni adhabau. Mashahidi wa madhabu au tunaita watchers ni aina ya malaika ( heavenly being ) huchukua record ya kila tukio linalo fanyika
Ni aina gani ya sadaka unaiweka ktk madhabau , na baadae hy sadaka unaifanya nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sadaka ukishatoa inakuwa sio yako tena 😀😀😀, inakuwa ni kwa Mungu ulie mtolea hiyo sadaka, unatakiwa kupata msukumo wa ndani wa roho katika au maelekezo mengine pa kwenda hiyo sadaka uliyo itoa. Sadaka uapo toa unakuwa ume rise altars, na inakuwa imefanyika exchange tayari. Kwa sasa sadaka ni pesa mkuu, ingawa wengine wanatoa hata viwaja wengine wanajitoa wao sadaka kwa kuacha badhi ya shit za dunia hii. Kwa mfano nataka kiwanja kikubwa zaidi na huku nakiwanja kidogo naweza nikakitoa sadaka kiwanja kidogo ili kupaya kikubwa by present information kwenye madhabau kwasababu huwezi beba kiwanja hadi kwenye altars yako.. uliyo ifanya.. utoaji wa sadaka hauna kanuni maalumu.. inategema sana maelekezo ya Roho
 
Sadaka unapoweka mbele ya madhabau, hupokelewa kwa maelekezo na hutoka hapo kwa maelekezo, maana ukisha kabizi sadaka yako, tayari umiriki hubadirka na huwa kwa yule ulie mtolea sadaka na ndio mwenye maelekezo pa kuipeleka au itumikaje au iende wapi lakini pia inaweza potea tu baada ya kuiweka. Zamani walitukia wanyama .. Mungu alikuwa ana zilamba kwa moto mtakatifu 😀😀😀.

Sadaka inayopokelewa kwa haraka zaidi ni ile ambayo umeotoa kutoka na maelekezo ya Roho, pili ni ile sadaka inayo pata atention kubwa mbinguni. Sadaka haina kanuni.. mkuu unaeza toa jero ikapata atention kubwa kuliko buku 10 ni mambo zaidi yanahitaji kuongozwa na Roho na sio akili zaidi
Bahati mbaya simu inaisha chaji.
Sasa mfano nimetoa damu ya mbuzi nikaiweka madhabahuni ndani ya chombo nikamaliza taratibu zote alafu haijapotea kimiujiza siitanuka sana ndani ya nyumba? Vipi nimetoa sadaka ya hela alafu imekaa miezi kwenye chombo ndani ya madhabau mara siku ya siku ikatokea nina njaa kali, huoni nitairudia na kwenda kuitumia?
 
Aliyekuamhia utoe damu ya mbuzi, atadeal nayo.. ila kama umefanya kwa kutumia akili zako na utashi wako hiyo inakula kwako.
 
Mkuu samahani, hpa kwenye madhabahu na ushirikina wa kurithishana, inawezekana babu wa nne katika generation yenu akaja saa hii ataka kumpa mtu milki, sio tunguri hapana unakuta huyu Babu enzi zake kwa historia alikuwa ni mtemi na mwenye Mali nyingi Sasa anakuja ana point mtu na kutaka kumpa uwezo wake na pia Mali alzokuwa nazo kipindi hcho? Na pia Kama alkuwa na ndagu isiohusu sadaka za uhai, inawezekana kupewa hivyo vtu yaani yeye kuchagua na kuamua kukupa?
 
Primary sijawahi kuwaona ila darasani wanafunzi wenzangu walikua wakisimulia sana habari za maajabu yaliyopo chooni,

walikua wakismulia mimi naenda chap ili nione namimi ila siku wahi kukuta,nmeshajaribu kukaa shule hadi usiku kbsa kisingizio n tuition ili tu niwaone ila wapiii..

siku 1 nimeingia chooni ilikua asubuhi kabisa,nilipokelewa na harufu moja ya pilau hiyooo,ile harufu ya pilau ni zaidi ya pilau la kwenye sherehe,nikawa nafungua choo kimojja baada ya kingine nione huyo mla pila chooni ni nani,

fungua mlango wa kwanza hamna kitu,wa pili hamna nikaenda hadi choo cha mwisho kbsa kulee kuna sehemu kama ka uwanja boys tunawekewa kwa ajili ya kukojoa,sikukuta mtu ila nilikuta mafiga matatu ya mawe yani n kama mtu alikua anapikia jiko la kuni,sikuona sufuria wala nn zaidi ya mafiga na majivu na kuni zilizokua zikitumika.
 
Tuanze na Malaika wa Shekel..
Ngoja nisaidie hapo kidogo.

Kama mkuu Noah alivyosema hapo juu, yupo malaika anayehusika na masuala ya pesa, Jina lake hasa ni Malaika wa Mafanikio, mavazi yake mara nyingi huwa ni ya rangi ya dhahabu safi au ng uo ya rangi nyingine lakini iliyonakishiwa kwa michirizi ya dhahabu.

Kwa nini dhahabu, Kwenye Biblia dhahabu ni rangi ya utajiri.

Kuna kitu kimoja lazima ujue kwamba Mungu anajifunua kwa majina mengi sana kwenye Biblia, na kila jina limebeba sifa fulani ya Mungu na sifa hii ina malaika wake anayoisimamia, mfano Jina la Mungu la Jehova Rapha maana yake Mungu aponyae, kwa hiyo malaika anayedeal na sifa ya Mungu ya uponyaji lazima jina lake libebe neno Rapha halafu unaongezea na neno El mbele yake, El maana yake Mungu kwa hiyo chochote chenye jila El maana yake Mwana wa Mungu.

Kwa muktadha huo basi utakuta malaika wana majina kama RaphaEl, GabriEl, MikaEl, UriEl, ArkaEl na mengineyo, japo si wote wenye majina yanayoishia na El(Hili ni somo pana sana linahitaji mada yake kabisa maana malaika nao wana ngazi zao, wapo mpaka watawala, viti vya enzi, malaika wakuu na ngazi nyingine kama tisa hivi).

Sasa huyu malaika wa mafanikio anabeba sifa ya Mungu ya provision ambayo inapatikana kwenye kitabu cha Mwanzo pindi Ibrahim ameenda kumtoa sadaka Isaka, Jina alilojifunua pale Mungu ni Jehova Yire, kwa hiyo huyu malaika wa ku provide ataitwa YireEl.

Malaika huyu hufanya kazi kuhakikisha kuwa anasimamia mambo yote yahusuyo pesa na mafanikio ya dunia hii.
Na kikubwa ni kuwa anavutiwa sana na upako au anointing ya pesa au mafanikio ambayo mtu anakuwa nayo.

Zipo annointing nyingi ambazo watu wa Mungu wanazo, zipo anointing za uponyaji, vita za rohoni, kuimba na nyinginezo na kila moja inabeba rangi(aura) yake.

Aura ni mng'aro fulani kama nuru ambayo inamzunguka mtu na viumbe vya rohoni vikikuoja tu vinajua wewe moyo wako ukoje, kama ni muuaji kuna aura ya kiuuaji inakuzunguka, kama ni mzinzi kuna kitu kama wingu fulani la uchafu linakuzunguka, kama ni mtu wa ibada kuna nuru fulani inakuzunguka, vile vile kama ni mtu wa kutoa sadaka sana na kusaidia watu kuna nuru ya rangi ya dhahabu inakuzunguka.

Sasa nuru huu inaedana sana na malaika huyo wa mafanikio,kwa hiyo muda mwingi atakaa na wewe kuhakikisha kuwa mafanikio yanakaa na wewe, ikiwemo kukutengenezea circumstances za mafanikio, waswahili wanaita mazali ya pesa au michongo yako kuwa inatiki, kila ukigusa kitu kinajipa.

Jambo moja unatakiwa kujua ni kuwa malaika ni watumishi wa wanadamu na unaweza kuwatuma kufanyabkazi fulani wakaenda kabisa, ila itategemea na anointing au mamlaka ya kiroho uliyo nayo.

Kama wewe ni mtu wa kusaidia sana watu bila kupenda zile showoffs za kijinga kijinga unawasaidia kabisa toka moyoniau mtoaji wa sadaka unakuwa na mamlaka kubwa sana ya kumuagiza huyu malaika wa pesa na huwa anakwenda haraka sana kutekeleza lile ulilomwagiza.

Mfano unataka kupata tenda ya kusambaza vitabu mashuleni, ukisema tu Kwa mamlaka ya Jina la Yesu nakuagiza malaika wa mafanikio nenda uhakikishe napata hii tenda, fasta tu anatangulia mbele anakunyooshea mambo, ukifika kila mtu anakushobokea wewe na vitabu vyako, unapata pesa uliyokuwa unaitaka.

Kwenye agano la kale watu walikuwa wanamlilia Mungu , naye Mungu anawatuma malaika zake wanatekeleza kile ulichomlilia, lakini kizazi hiki cha agano Jipya hiyo mamlaka ya kuwaagiza malaika tumerudishiwa maana Adam aliipoteza, ikabidi Yesu aje kuhakikisha inarudi kwetu.

So ukiagiza tu huyu malaika akufanikishie mambo yako anakufanikishia kirahisi tu, wala hamna haja ya kufuga majini wala kuvaa vaa mapete pete wala kutoa makafara kama wanavyofanya waswahili mtaaani.

Hii mada ni pana sana maana inabeba ishu za malaika, madhabahu, mamlaka za rohoni lakini pia ishu za utajiri wa Kimungu ila nadhani nimetoa mwanga kidogo.

UBARIKIWE SANA.
 
Umesomeka mkuu elimu nzuri...
 
Mkuu kujitoa sadaka mwenyewe ndio kupo vipi?
Sadaka ukishatoa inakuwa sio yako tena , inakuwa ni kwa Mungu ulie mtolea hiyo sadaka, unatakiwa kupata msukumo wa ndani wa roho katika au maelekezo mengine pa kwenda hiyo sadaka uliyo itoa. Sadaka uapo toa unakuwa ume rise altars, na inakuwa imefanyika exchange tayari. Kwa sasa sadaka ni pesa mkuu, ingawa wengine wanatoa hata viwaja wengine wanajitoa wao sadaka kwa kuacha badhi ya shit za dunia hii. Kwa mfano nataka kiwanja kikubwa zaidi na huku nakiwanja kidogo naweza nikakitoa sadaka kiwanja kidogo ili kupaya kikubwa by present information kwenye madhabau kwasababu huwezi beba kiwanja hadi kwenye altars yako.. uliyo ifanya.. utoaji wa sadaka hauna kanuni maalumu.. inategema sana maelekezo ya Roho
 
Back
Top Bottom