Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Ngoja nisaidie hapo kidogo.

Kama mkuu Noah alivyosema hapo juu, yupo malaika anayehusika na masuala ya pesa, Jina lake hasa ni Malaika wa Mafanikio, mavazi yake mara nyingi huwa ni ya rangi ya dhahabu safi au ng uo ya rangi nyingine lakini iliyonakishiwa kwa michirizi ya dhahabu.

Kwa nini dhahabu, Kwenye Biblia dhahabu ni rangi ya utajiri.

Kuna kitu kimoja lazima ujue kwamba Mungu anajifunua kwa majina mengi sana kwenye Biblia, na kila jina limebeba sifa fulani ya Mungu na sifa hii ina malaika wake anayoisimamia, mfano Jina la Mungu la Jehova Rapha maana yake Mungu aponyae, kwa hiyo malaika anayedeal na sifa ya Mungu ya uponyaji lazima jina lake libebe neno Rapha halafu unaongezea na neno El mbele yake, El maana yake Mungu kwa hiyo chochote chenye jila El maana yake Mwana wa Mungu.

Kwa muktadha huo basi utakuta malaika wana majina kama RaphaEl, GabriEl, MikaEl, UriEl, ArkaEl na mengineyo, japo si wote wenye majina yanayoishia na El(Hili ni somo pana sana linahitaji mada yake kabisa maana malaika nao wana ngazi zao, wapo mpaka watawala, viti vya enzi, malaika wakuu na ngazi nyingine kama tisa hivi).

Sasa huyu malaika wa mafanikio anabeba sifa ya Mungu ya provision ambayo inapatikana kwenye kitabu cha Mwanzo pindi Ibrahim ameenda kumtoa sadaka Isaka, Jina alilojifunua pale Mungu ni Jehova Yire, kwa hiyo huyu malaika wa ku provide ataitwa YireEl.

Malaika huyu hufanya kazi kuhakikisha kuwa anasimamia mambo yote yahusuyo pesa na mafanikio ya dunia hii.
Na kikubwa ni kuwa anavutiwa sana na upako au anointing ya pesa au mafanikio ambayo mtu anakuwa nayo.

Zipo annointing nyingi ambazo watu wa Mungu wanazo, zipo anointing za uponyaji, vita za rohoni, kuimba na nyinginezo na kila moja inabeba rangi(aura) yake.

Aura ni mng'aro fulani kama nuru ambayo inamzunguka mtu na viumbe vya rohoni vikikuoja tu vinajua wewe moyo wako ukoje, kama ni muuaji kuna aura ya kiuuaji inakuzunguka, kama ni mzinzi kuna kitu kama wingu fulani la uchafu linakuzunguka, kama ni mtu wa ibada kuna nuru fulani inakuzunguka, vile vile kama ni mtu wa kutoa sadaka sana na kusaidia watu kuna nuru ya rangi ya dhahabu inakuzunguka.

Sasa nuru huu inaedana sana na malaika huyo wa mafanikio,kwa hiyo muda mwingi atakaa na wewe kuhakikisha kuwa mafanikio yanakaa na wewe, ikiwemo kukutengenezea circumstances za mafanikio, waswahili wanaita mazali ya pesa au michongo yako kuwa inatiki, kila ukigusa kitu kinajipa.

Jambo moja unatakiwa kujua ni kuwa malaika ni watumishi wa wanadamu na unaweza kuwatuma kufanyabkazi fulani wakaenda kabisa, ila itategemea na anointing au mamlaka ya kiroho uliyo nayo.

Kama wewe ni mtu wa kusaidia sana watu bila kupenda zile showoffs za kijinga kijinga unawasaidia kabisa toka moyoniau mtoaji wa sadaka unakuwa na mamlaka kubwa sana ya kumuagiza huyu malaika wa pesa na huwa anakwenda haraka sana kutekeleza lile ulilomwagiza.

Mfano unataka kupata tenda ya kusambaza vitabu mashuleni, ukisema tu Kwa mamlaka ya Jina la Yesu nakuagiza malaika wa mafanikio nenda uhakikishe napata hii tenda, fasta tu anatangulia mbele anakunyooshea mambo, ukifika kila mtu anakushobokea wewe na vitabu vyako, unapata pesa uliyokuwa unaitaka.

Kwenye agano la kale watu walikuwa wanamlilia Mungu , naye Mungu anawatuma malaika zake wanatekeleza kile ulichomlilia, lakini kizazi hiki cha agano Jipya hiyo mamlaka ya kuwaagiza malaika tumerudishiwa maana Adam aliipoteza, ikabidi Yesu aje kuhakikisha inarudi kwetu.

So ukiagiza tu huyu malaika akufanikishie mambo yako anakufanikishia kirahisi tu, wala hamna haja ya kufuga majini wala kuvaa vaa mapete pete wala kutoa makafara kama wanavyofanya waswahili mtaaani.

Hii mada ni pana sana maana inabeba ishu za malaika, madhabahu, mamlaka za rohoni lakini pia ishu za utajiri wa Kimungu ila nadhani nimetoa mwanga kidogo.

UBARIKIWE SANA.
Hii nayo nimebeba Kama ilivo....watu tunaenda kwa waganga kwakua tukiomba MUNGU hatupati instant results.....labda kwakua hatuna knowledge ya kuwaita na kuwatumia malaika....shusha vitu Swami
 
Kujitoa mwenyewe sadaka
Cha kwanza azimia ndani ya moyo wako kuacha vitu unavyopenda zaidi 😀😀. Kama una penda sex kuliko kila kitu acha hiyo , kama unapenda aina ya chakula pia acha hivyo vyakula, sio uache kula kabisa, ila unakula badhi ya vyakula ili usife, pia sex huwezi acha kabisa ila kama ulikuwa unapenda chapa mala kwa mala, acha uwe unapiga kwa manyato sana ila balance usilete tafrani kwenye ndoa.. yani mention vitu vyote unavyopenda sana, then nenda mbele ya madhabahu vikabizi mbele za Mungu, kwa ku mueleza azima yako ya kuviacha hivyo na kuwa kama sadaka mbele zake..
 
Somo limeeleweka
Ngoja nisaidie hapo kidogo.

Kama mkuu Noah alivyosema hapo juu, yupo malaika anayehusika na masuala ya pesa, Jina lake hasa ni Malaika wa Mafanikio, mavazi yake mara nyingi huwa ni ya rangi ya dhahabu safi au ng uo ya rangi nyingine lakini iliyonakishiwa kwa michirizi ya dhahabu.

Kwa nini dhahabu, Kwenye Biblia dhahabu ni rangi ya utajiri.

Kuna kitu kimoja lazima ujue kwamba Mungu anajifunua kwa majina mengi sana kwenye Biblia, na kila jina limebeba sifa fulani ya Mungu na sifa hii ina malaika wake anayoisimamia, mfano Jina la Mungu la Jehova Rapha maana yake Mungu aponyae, kwa hiyo malaika anayedeal na sifa ya Mungu ya uponyaji lazima jina lake libebe neno Rapha halafu unaongezea na neno El mbele yake, El maana yake Mungu kwa hiyo chochote chenye jila El maana yake Mwana wa Mungu.

Kwa muktadha huo basi utakuta malaika wana majina kama RaphaEl, GabriEl, MikaEl, UriEl, ArkaEl na mengineyo, japo si wote wenye majina yanayoishia na El(Hili ni somo pana sana linahitaji mada yake kabisa maana malaika nao wana ngazi zao, wapo mpaka watawala, viti vya enzi, malaika wakuu na ngazi nyingine kama tisa hivi).

Sasa huyu malaika wa mafanikio anabeba sifa ya Mungu ya provision ambayo inapatikana kwenye kitabu cha Mwanzo pindi Ibrahim ameenda kumtoa sadaka Isaka, Jina alilojifunua pale Mungu ni Jehova Yire, kwa hiyo huyu malaika wa ku provide ataitwa YireEl.

Malaika huyu hufanya kazi kuhakikisha kuwa anasimamia mambo yote yahusuyo pesa na mafanikio ya dunia hii.
Na kikubwa ni kuwa anavutiwa sana na upako au anointing ya pesa au mafanikio ambayo mtu anakuwa nayo.

Zipo annointing nyingi ambazo watu wa Mungu wanazo, zipo anointing za uponyaji, vita za rohoni, kuimba na nyinginezo na kila moja inabeba rangi(aura) yake.

Aura ni mng'aro fulani kama nuru ambayo inamzunguka mtu na viumbe vya rohoni vikikuoja tu vinajua wewe moyo wako ukoje, kama ni muuaji kuna aura ya kiuuaji inakuzunguka, kama ni mzinzi kuna kitu kama wingu fulani la uchafu linakuzunguka, kama ni mtu wa ibada kuna nuru fulani inakuzunguka, vile vile kama ni mtu wa kutoa sadaka sana na kusaidia watu kuna nuru ya rangi ya dhahabu inakuzunguka.

Sasa nuru huu inaedana sana na malaika huyo wa mafanikio,kwa hiyo muda mwingi atakaa na wewe kuhakikisha kuwa mafanikio yanakaa na wewe, ikiwemo kukutengenezea circumstances za mafanikio, waswahili wanaita mazali ya pesa au michongo yako kuwa inatiki, kila ukigusa kitu kinajipa.

Jambo moja unatakiwa kujua ni kuwa malaika ni watumishi wa wanadamu na unaweza kuwatuma kufanyabkazi fulani wakaenda kabisa, ila itategemea na anointing au mamlaka ya kiroho uliyo nayo.

Kama wewe ni mtu wa kusaidia sana watu bila kupenda zile showoffs za kijinga kijinga unawasaidia kabisa toka moyoniau mtoaji wa sadaka unakuwa na mamlaka kubwa sana ya kumuagiza huyu malaika wa pesa na huwa anakwenda haraka sana kutekeleza lile ulilomwagiza.

Mfano unataka kupata tenda ya kusambaza vitabu mashuleni, ukisema tu Kwa mamlaka ya Jina la Yesu nakuagiza malaika wa mafanikio nenda uhakikishe napata hii tenda, fasta tu anatangulia mbele anakunyooshea mambo, ukifika kila mtu anakushobokea wewe na vitabu vyako, unapata pesa uliyokuwa unaitaka.

Kwenye agano la kale watu walikuwa wanamlilia Mungu , naye Mungu anawatuma malaika zake wanatekeleza kile ulichomlilia, lakini kizazi hiki cha agano Jipya hiyo mamlaka ya kuwaagiza malaika tumerudishiwa maana Adam aliipoteza, ikabidi Yesu aje kuhakikisha inarudi kwetu.

So ukiagiza tu huyu malaika akufanikishie mambo yako anakufanikishia kirahisi tu, wala hamna haja ya kufuga majini wala kuvaa vaa mapete pete wala kutoa makafara kama wanavyofanya waswahili mtaaani.

Hii mada ni pana sana maana inabeba ishu za malaika, madhabahu, mamlaka za rohoni lakini pia ishu za utajiri wa Kimungu ila nadhani nimetoa mwanga kidogo.

UBARIKIWE SANA.
 
Mkuu samahani, hpa kwenye madhabahu na ushirikina wa kurithishana, inawezekana babu wa nne katika generation yenu akaja saa hii ataka kumpa mtu milki, sio tunguri hapana unakuta huyu Babu enzi zake kwa historia alikuwa ni mtemi na mwenye Mali nyingi Sasa anakuja ana point mtu na kutaka kumpa uwezo wake na pia Mali alzokuwa nazo kipindi hcho? Na pia Kama alkuwa na ndagu isiohusu sadaka za uhai, inawezekana kupewa hivyo vtu yaani yeye kuchagua na kuamua kukupa?

Moja kabla ya kuingizwa kwenye urithi huwa wanakaa kitako counseling, na kujadiliana kuona nani anafaa kupewa hicho kitu. Hii ni kanuni ( spiritual law ). Ukiona umekuwa pointed maana yake kwenye vikao vya wajumbe umependekezwa na umeshinda kwa kishindo 😀😀😀. Ukipitsihwa kwa either ulikuwa unajua au haukuwa unajua.. wanakufata sasa kukupata taarifa.. hiyo taarifa unaeza ukaikubali au ukakataa uteuzi.. ila mala nyingi ukikataa huwa kuna kuwa na tu vita vita.. japo ni easy pia kutengua uteuzi, inategema na imani yako
 
Sadaka unapoweka mbele ya madhabau, hupokelewa kwa maelekezo na hutoka hapo kwa maelekezo, maana ukisha kabizi sadaka yako, tayari umiriki hubadirka na huwa kwa yule ulie mtolea sadaka na ndio mwenye maelekezo pa kuipeleka au itumikaje au iende wapi lakini pia inaweza potea tu baada ya kuiweka. Zamani walitukia wanyama .. Mungu alikuwa ana zilamba kwa moto mtakatifu .

Sadaka inayopokelewa kwa haraka zaidi ni ile ambayo umeotoa kutoka na maelekezo ya Roho, pili ni ile sadaka inayo pata atention kubwa mbinguni. Sadaka haina kanuni.. mkuu unaeza toa jero ikapata atention kubwa kuliko buku 10 ni mambo zaidi yanahitaji kuongozwa na Roho na sio akili zaidi
Huyo Roho naongea naye vipi? Namsikiaje anaposema? na anatokeaje? Ebu fafanua vizuri hapo.
 
Nimekusoma mkuu, ila Sasa Ila Apo Apo kn madhabau za kigiza ambazo zinaweza kumfanya mtu akawa ana sudi ya uchumi, swali ni je huwa wanaotumiwa ni hawa malaika wa mafanikio sekeli au wanatumia dark angel wa ibilisi

Back
Top Bottom