Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,280
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukweli kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwanini kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu tuambiane
 
Nakumbuka zamani kidogo nikiwa namsindikiza mzee mmoja Kwake akitokea kwa babu yangu tulikua tukipiga story za dizaini hii.Tulipita pahala kuna soko la jioni watu wamejazana ilikua mida ya saa mbili usiku,ndipo mzee huyu akanambia unataka kuona inavyokua nikamjibu ndio, akadai nisionyeshe hofu. Basi bana akanipakaa vijidawa flani machoni, niliona mambo ya kutisha sasa sijui ndo vibwengo, ni ķama vitoto lakini vichwa Vyao nivibabu na vibibi. Pia hapo niliona bàadhi ya wamama wakiwa uchi na Wengine wamekalia mafuvu ya vichwa vya watu. Pia baadhi walionekana kama wendawazimu. Yule mzee aliniambia umetosha nikamwambia ndio. Basi akanipakaa dawa nyingine nikaona mambo yamekua kawaida. Badala ya kuendelea kumsindikiza ilibidi yeye tena anirudishe home, tulipofika tulimkuta babu akauliza vp ameona hapo nikagundua nilikua nafunzwa kitu. Mpaka kesho maeneo haya sili wala situmii muda mwingi kuwepo. Babu alinambia nisije pakwa dawa hii tena kwani huharibu macho.
 
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Vimbwengo ni spirit ( roho - evil spirit ), hawa vimbengo hupokea amri kutoka kwenye darkness kingdom, kwa ajiri ya kutekeleza task inaweza ikawa umauti, au ukichaa kwa mtu. Kimbwengo pasipo amri kutoka katika kingodom yao hawana effects, wanakuwa powerless, but when they receive comand kutoka kwa master wao ni hatari ni viburi sana hivyo vi roho. Vibwengo ni ving'ang'anizi sana
 
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Ila japo na utata wao wote, namna nyepesi ya kukabiliana na vibwengo , ni sadaka katika ufalme wa nuru, huwa zina wa wadhoofisha sana na kukosa nguvu kabisa juu ya kile walichotumiwa
 
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane

Namna ya kuona vibwengo ni rahisi sana, ila unaeza kuwona na ukawa wa contorl ukikosa power ya ku vi contorl vitakutesa. Sasa basi nikuelekeza namna ya kuona vibwengo.
 
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Kuna vibwengo kwanza wanaishi mapangoni, maporini kwenye misitu, baharini na maana hii wanapokea amri kutoka katika hizo sehemu. Unataka kuona vibwengo wa aina gani ?
 
Back
Top Bottom