King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Mi mwenyewe namuona bado mdogo sanaBado sana mchanga wa kiroho kijana.. huelewi kitu kipi hapo unaona ni uchawi nikufafanulie ?
Mi mwenyewe namuona bado mdogo sanaBado sana mchanga wa kiroho kijana.. huelewi kitu kipi hapo unaona ni uchawi nikufafanulie ?
Sana, bado hajajua ulimwengu wa roho na huenda hajui maana ya mystery, secret and revelation.Mi mwenyewe namuona bado mdogo sana
Uchawi ulikuwa unafundishwaNakumbuka zamani kidogo nikiwa namsindikiza mzee mmoja Kwake akitokea kwa babu yangu tulikua tukipiga story za dizaini hii.Tulipita pahala kuna soko la jioni watu wamejazana ilikua mida ya saa mbili usiku,ndipo mzee huyu akanambia unataka kuona inavyokua nikamjibu ndio, akadai nisionyeshe hofu. Basi bana akanipakaa vijidawa flani machoni, niliona mambo ya kutisha sasa sijui ndo vibwengo, ni ķama vitoto lakini vichwa Vyao nivibabu na vibibi. Pia hapo niliona bàadhi ya wamama wakiwa uchi na Wengine wamekalia mafuvu ya vichwa vya watu. Pia baadhi walionekana kama wendawazimu. Yule mzee aliniambia umetosha nikamwambia ndio. Basi akanipakaa dawa nyingine nikaona mambo yamekua kawaida. Badala ya kuendelea kumsindikiza ilibidi yeye tena anirudishe home, tulipofika tulimkuta babu akauliza vp ameona hapo nikagundua nilikua nafunzwa kitu. Mpaka kesho maeneo haya sili wala situmii muda mwingi kuwepo. Babu alinambia nisije pakwa dawa hii tena kwani huharibu macho.
Nakazia hapoTuanze na Malaika wa Shekel..
Hamna sadaka ya hivyo mkuuSakada inayopokewa haraka ni ipi na itakaa kwenye chombo muda gani?
Mfano nimetoa sadaka ya damu ya kuku [emoji2960]
Mkuu nami naomba unitumie au unipe jina la hiko kitabuHuu uzi una mchanganyiko wa mambo mengi Sana unaweza ukajikuta mtu unasoma afu usielewe chochote..
Nitakutumia kitabu pm uanze nacho kukisoma then Kama utakimaliza Kama utaitaji uongeze ujuzi zaidi ntakutumia vingine...
Kiongozi naomba namba yako tafadhaliKwanza wewe unachanya mambo mie humu sikuwa nafundisha mafanikio,nimegusa vitu vingi sana. Pili Imani ya mtu huamua kiwango cha maisha ya huyo mtu. Mie humu hawanijui siwajui.. na sina interaction na mtu hata mmoja humu kusema kuna kitu nataka hapa.. wewe unaanza lazima habari za prosperity gospel.. anza kumifatilia toka mwanzo wa huu uzi. Utajiri ni lazima
👇👇👇
Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Kama hutaki achaaa... Injili lazima ibalance, leo kina Bill gates wana nguvu ya kufanya watakacho kwasababu wana pesa, ila kipindi kina suleiman wanafata kanuni au kina Ibrahim.. wao ndio walikuwa matajiri kupita wote .. Kanisa lazima liwe na matajiri kuliko walimwengu.. ila shida sasa ni watu kama nyie mnatia giza