Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,660
Anania na Safira walijenga madhabahu? Sadaka ni nini?Mtume Petro katika matemdo ya mitume unakumbuka Anani na Safira mke wake ? Nyie ndio mnawafungia watu nje wasipokee baraka zao.. kwa kuwa hadaa watu kwamba sadaka iliyotolewa msakabani imetosha, na kama.muelewa sijasema utoe sadaka ili ujiunganishe na Mungu. Mtu yoyote anae potosha au kukatza sadaka huyo ni mchawi kwasababu anajua siro iliyopo kwenye sadaka.. watu wakijua ndio mwisho wa kunyanyasika.. Nenda kasome habari za Korneli sadaka zake zilikumbukwa wewe ni nani hadi uwakataze watu wasitoe sadaka .. Narudi anae pingana na utoaji sadaka huyo ni mjumbe wa shetani.. Agano la kale lote walikuwa wakitoa sadaka na hata katika gano jipya..