Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Asante mkuu Kuhani Noah nimekupata kiasi. Sasa nawezaje kuzama kwenye maombi hadi kuwa na intimacy na malaika maana nahisi uombaji wangu uko shallow
Soma sana neno la Mungu, na kulitafakri kwa kina, ni bora usome mstari mmoja ila uwe umeulewa na umekupa ufunuo, then omba kupitia huo mstari.. utashangaa unapata mpenyo. Pia exercise kufunga ili kuvunja baadhi ya vitu ambavyo vinashika usiombe kwa urahisi kwa ku sumbit your flesh to your spirit
 
Nakumbuka zamani kidogo nikiwa namsindikiza mzee mmoja Kwake akitokea kwa babu yangu tulikua tukipiga story za dizaini hii.Tulipita pahala kuna soko la jioni watu wamejazana ilikua mida ya saa mbili usiku,ndipo mzee huyu akanambia unataka kuona inavyokua nikamjibu ndio, akadai nisionyeshe hofu. Basi bana akanipakaa vijidawa flani machoni, niliona mambo ya kutisha sasa sijui ndo vibwengo, ni ķama vitoto lakini vichwa Vyao nivibabu na vibibi. Pia hapo niliona bàadhi ya wamama wakiwa uchi na Wengine wamekalia mafuvu ya vichwa vya watu. Pia baadhi walionekana kama wendawazimu. Yule mzee aliniambia umetosha nikamwambia ndio. Basi akanipakaa dawa nyingine nikaona mambo yamekua kawaida. Badala ya kuendelea kumsindikiza ilibidi yeye tena anirudishe home, tulipofika tulimkuta babu akauliza vp ameona hapo nikagundua nilikua nafunzwa kitu. Mpaka kesho maeneo haya sili wala situmii muda mwingi kuwepo. Babu alinambia nisije pakwa dawa hii tena kwani huharibu macho.
Ulimwengu usiooneka kwa macho ni hatari mno - kuna mambo ya ajabu mno yanafanyika katika ulimwengu huo!! hata huko makanisani na misikitini kama una uwezo wa kuona aisee waweza kukimbia ama kuzimia kabisa.
 
Vimbwengo ni spirit ( roho - evil spirit ), hawa vimbengo hupokea amri kutoka kwenye darkness kingdom, kwa ajiri ya kutekeleza task inaweza ikawa umauti, au ukichaa kwa mtu. Kimbwengo pasipo amri kutoka katika kingodom yao hawana effects, wanakuwa powerless, but when they receive comand kutoka kwa master wao ni hatari ni viburi sana hivyo vi roho. Vibwengo ni ving'ang'anizi sana
Master wao huwa ni nani mkuu?
 
Moja kabla ya kuingizwa kwenye urithi huwa wanakaa kitako counseling, na kujadiliana kuona nani anafaa kupewa hicho kitu. Hii ni kanuni ( spiritual law ). Ukiona umekuwa pointed maana yake kwenye vikao vya wajumbe umependekezwa na umeshinda kwa kishindo . Ukipitsihwa kwa either ulikuwa unajua au haukuwa unajua.. wanakufata sasa kukupata taarifa.. hiyo taarifa unaeza ukaikubali au ukakataa uteuzi.. ila mala nyingi ukikataa huwa kuna kuwa na tu vita vita.. japo ni easy pia kutengua uteuzi, inategema na imani yako
Mkuu sorry hapa kuna kitu umenigusa kuna maswali mengi sana napenda nikuulize ila sipendi kuchafua uzi kama hutojali naomba nije pm.
 
Huwa najifunza sana na ku invest sana mda kwenye elimu ya ulimwengu wa roho. Kwasabau ulimwengu wa roho ni superiol ya huu ulimwengu wa damu na nyama. Tukija pata mda unaeza point aina yoyote ya topics tuka ijadili kitu chochote ambacho ni interst kukijua then tukashusha nodno tunaweka na mda wa maswali na majibu
Andaa mada kuhusu roho ni nini?
Kuna maisha baada ya kifo?
Mtu akifa anaenda wapi?

Fanya hivyo tuelimike hapo mkuu!
 
Asante mkuu Kuhani Noah nimekupata kiasi. Sasa nawezaje kuzama kwenye maombi hadi kuwa na intimacy na malaika maana nahisi uombaji wangu uko shallow
Takasa nafsi yako kwanza kuwa karibu na MUUMBA wako then ntakupa njia simple ya kulink na malaika wako as ABC huna haja ya kufanya deep maditation mara sijui maombi hizi elimu nashangaa zinafichwa sijui kwa sababu gani maybe kwa manufaa ya watu wachache
 
Asante sana mkuu.

Lakini si ungenipa tu hiyo njia simple.
 
Andaa mada kuhusu roho ni nini?
Kuna maisha baada ya kifo?
Mtu akifa anaenda wapi?

Fanya hivyo tuelimike hapo mkuu!
Sawa, Roho ni uhai wa Mungu ( pumzi ya Mungu ), kwa rugha nyepesi ni mbegu ( seed ya Mungu ). Hii mbengu iliwekwa ndani ya mwili body ( mavumbi ) ila haikuwa active hadi pale pale Mungu alipo pulizia pumzi, ndipo tukapata roho, nafsi na mwili. Kila kimoja kina components.

Roho ( mbengu ya Mungu, kwa lugha laini ni meno la Mungu, ( tumefanyika kwa Mungu kutamka neno tu ). Hii huongozwa eithere na Mungu au Shetani, inategemea muhusika nafsi yake ameamua kuikabidhi wapi. Kinachotokea ni hivi.. Kati ya Roho na Nafsi kuna uwazi kati yake, katika uo uwazi hukaa kati ya Roho ya Mungu ( nuru ya Mungu ) au roho ya shetani ( giza ). Mwenye maamuzi wa kuweka roho ipi hapo ni mtu mwenyewe. Na hata mtu akienda upande wa giza kwa ajiri ya kupata utajiri, huondoa nuru katika hiyo sehemu na kuweka roho ya giza ambayo inakuwa ina atract mali.. siku ikiondoka hapo inasepa na vyake na huyo mtu urudi sufuri kwasababu kuna kuwa hakuna cha kuvuta tena mali. Nitaeleze kwa undani zaidi kuhusu Roho.. ila inshort creation ya roho ni matokeo ya neno la Mungu ( seed ) kwa anae amini
 
Andaa mada kuhusu roho ni nini?
Kuna maisha baada ya kifo?
Mtu akifa anaenda wapi?

Fanya hivyo tuelimike hapo mkuu!
Maisha baada ya kifo yapo, ila sio maisha haya kama haya . Mtu anapo kufa ni mwisho wa mwili wake ( expired date ya mwili na mission yake hapa duniani , so inaweza ikawa kafa kwa wakati sahihi au pre mature death ). Anapo kufa, Roho iliyopo kati kati ya nafsi na roho yake ndio vitaamua huyo mtu aende wapi ( aende gizani alipo papenda au nuruni alipo papenda ). Kwa believe wanakumbuka mfalme Sauli alipozinguana na Mungu akaenda kwa Mganga kumuita Samuel ili apate maelekezo , mganga akafanya ndumba akapandishwa Samuel kutoka kuzimu.. ( kuzimu ipo ), na kuna story ya Lazaro na tajiri .. wote walikufa na mmoja akawa kwenye mateso na mwingine kifuani kwa Ibrahim.. for belive hii.. moto upo na paradise ipo.. maisha huko yataendelea
 
Sawa, Roho ni uhai wa Mungu ( pumzi ya Mungu ), kwa rugha nyepesi ni mbegu ( seed ya Mungu ). Hii mbengu iliwekwa ndani ya mwili body ( mavumbi ) ila haikuwa active hadi pale pale Mungu alipo pulizia pumzi, ndipo tukapata roho, nafsi na mwili. Kila kimoja kina components.

Roho ( mbengu ya Mungu, kwa lugha laini ni meno la Mungu, ( tumefanyika kwa Mungu kutamka neno tu ). Hii huongozwa eithere na Mungu au Shetani, inategemea muhusika nafsi yake ameamua kuikabidhi wapi. Kinachotokea ni hivi.. Kati ya Roho na Nafsi kuna uwazi kati yake, katika uo uwazi hukaa kati ya Roho ya Mungu ( nuru ya Mungu ) au roho ya shetani ( giza ). Mwenye maamuzi wa kuweka roho ipi hapo ni mtu mwenyewe. Na hata mtu akienda upande wa giza kwa ajiri ya kupata utajiri, huondoa nuru katika hiyo sehemu na kuweka roho ya giza ambayo inakuwa ina atract mali.. siku ikiondoka hapo inasepa na vyake na huyo mtu urudi sufuri kwasababu kuna kuwa hakuna cha kuvuta tena mali. Nitaeleze kwa undani zaidi kuhusu Roho.. ila inshort creation ya roho ni matokeo ya neno la Mungu ( seed ) kwa anae amini
Shusha nondo mkuu
 
Back
Top Bottom