Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

huyu malaika huanza interaction na kichanga tangu tumboni, na hata kinapo zaliwa huwa na interaction na huyu malaika, na huyu malaika huanza mfundisha mtoto lugha ya malaika husika ambae huyo guardian wake. Ili kuelewa malaika anapo sema nae au anapo pewa ishara na huyo malaika. Hii ipo hivi kuna watu wanasemaga nilitaka kwenda pale ila nikajikuta nimekuwa mzito ghafla, hapo sio amejikuta mzito ghafla bali malaika wake guardian amesema nae kwa lugha ya kiroho ila muhusika ndio ivyo 😀😀😀.. na unakuta baada ya ku ahirisha kwenda kule alipo taka kwenda kunatokea balaa, au mwengine atakuambia roho ilikuwa inanisukuma kuja, kumbe ndio maana nimekutana na wewe ( divine connection ).. hii inawapa shida kwasababu watu hawapo aware na uliwengu wa malaika
 
hata malaika wanapo zungumza nao kwa ishara mbali mbali bado wanakuwa hawaelewei , na wengine ambao huwa wapo active na baadhi ya ishara, husema wana machalee 😀😀😀.. kumbe sio machale ila wameisha master some sign za huyo malaika ila tu hawaja elewa kuna ni malaika wao mzlini.. huyu kama mtu yupo active kiroho atajifunza mengi kutoka kwa huyo angel na wakati mwingine anakuoa hata michongo ya pesa kwa kukupa msukumo mahala ambapo utapa ridhiki
 
Guardian angel anaongoza familia, na kwa upande wa giza huita familia spirit. Huyu ni malaika ambae hubeba hatma ya kizazi kizima pia.. asume kama Ibrahim angeshindwa kuwa na uhusiano mzuri na guardian angel wake , maana yake ISAKA asinge mpata REBEKA.. niishie hapa.. kwa muelewa atauliza maswali😀😀😀.. sasa basi huo ni utangulizi wa guardian angel. Tunaenda namna anavyo operate namna ya kumuelewa namna ya kumuweka active na mambo yanayoweza mfanya akasababisha ukafa kabla ya wakati wako
 
Swali kidogo mkuu Guardian Angel ni kwa vipi akasababisha ukafa kabla ya muda wako wakati ni malaika unaekuwa nae since unazaliwa na yupo kwa ajili ya kukulinda?Inasemekana kwa asilimia kubwa sisi wanadamu hatuna elimu ya kumuweka activate guardian angels wetu huyu ni spirit ya nuru na pia kuna ishara zake anapokuwa arounds you.Nimenena machache nnayoyajua bado nasubiri mwongozo wako
 
Sasa basi guardian angel, huwa na uwezo wa ku ivnvite other angel katika maisha ya mtu au kuto ku invite, hili linategemea sana uhusiano wa mtu na malaika wake 😀😀.. pia guardian angel ukimfanya awe na kisirani .. hapo maana yake kusudi la mtu huwa ni ngumu kufanikiwa kwasababu huyo malaika ndio amebeba destiny ya muhusika.. Musa aliambiwa na Mungu msimfanye huyo malaika mbelenu yenu akawa na kisirani nanyi.. maana yake wangemzingua safari yao ingekuwa ngumu na huenda wasingefika walipo kuwa wanaenda..
 
Swali kidogo mkuu Guardian Angel ni kwa vipi akasababisha ukafa kabla ya muda wako wakati ni malaika unaekuwa nae since unazaliwa na yupo kwa ajili ya kukulinda?Inasemekana kwa asilimia kubwa sisi wanadamu hatuna elimu ya kumuweka activate guardian angel ni spirit ya nuru na pia kuna ishara zake anapokuwa rounds you
Guardian angel ni malaika pekee mwenye uwezo wa ku access nafsi yako. Ni malaika ambae unaeza mtia kisirani, ni malaika ambae unaeza ukamfanya akawa weak kutokana na matendo yako.. ni malaika anaeweza invite other heavenly being kwenye maisha yako ni malaka pekee anae jua hatma yako na unapo elekea. Sasa inakuwaje ukachomoka kabla ya wakati wako ? Ukisha mfanya kuwa kisiriani na kumfanya kuwa weka anakosa nguvu juu yako na nafsi yako na hapo ndipo umauti unapokuja kabla ya mda. Sijui umepata point yangu kidogo hapa ?
 
Swali kidogo mkuu Guardian Angel ni kwa vipi akasababisha ukafa kabla ya muda wako wakati ni malaika unaekuwa nae since unazaliwa na yupo kwa ajili ya kukulinda?Inasemekana kwa asilimia kubwa sisi wanadamu hatuna elimu ya kumuweka activate guardian angel ni spirit ya nuru na pia kuna ishara zake anapokuwa rounds you
Ishara zake ,ni moja wapo unaeza ukawa umeweka pozi sehemu, unasikia kama mtu anashika kichwa chako ( anaweka some wisdom ), au unasiki kitu kama joto linalo ambatana na furaha sanaaaaa... kama upo mahala flani amazing, lakini pia kwa wanaume unaeza hisi sehemu zako za suri zimekaukaa au kakaamaaa sanaaaa, kwa wanawake huwa wanakuwa wet.. hii maana yake ni kwamba una intimacy na malaika wako .. sasa hapa pata vuruga watu, ila ukiona pame kuvuruga uliza swali.. lakini pia kuwashwa macho ila unakuwa na peace ndani yako.. na ushara zingine nyingi zikiwepo za msukumo wa ndani
 
Pili namna ingine ni kukaa na kuwa karibu na watu wenye uelewa wa huduma za malaika na wenye elimu ya malaika ,hii huwa ina fanya angel wako awe impowerd na hao wa wengine hata kama wewe ni mdwanzi..😀😀😀
 
Pia hata kumuabudu Mungu wako, maana malaika wameumbiwa kuabudu, kadri unavyo muabudu Mungu unakuwa una wa invite mje muabudu pamoja
 
Back
Top Bottom