Shahawa za Mkenya ndizo zilitumika kumleta Obama duniani, rais wa dunia, POTUS. Kila aendako wanamwinamia, uliona ona jinsi Watanzania walimshobokea hadi kupiga barabara deki, kuondoa omba omba mjini.
Sasa hivi nasubiri Obama aniletee viatu vya Amerika, na nguo za huko. Dah!! mjini hapa yaani raha tele.
Mkuuua hao manyang'au ni pote lenye makandokando ya ukoloni,ndio maana Kenya wahindi na wazungu na wasomali wanapapenda sababu wakenya wenyw ni kama watumwa kwa watu was nje na ndio maana hao wanashika uchumi mkubwa sio km kwetu
Amavubi, just think of it. Mwafrika/binadamu mwenzako unamkanyaga hivyo, unamwonea kwa vile amekanyaga nyasi eti Obama anakuja. wanafanya ujio wa Obama kama ujio wa Yesu tunaousubiri kwa sisi wakristo! Yesu asingelipenda watu wafanyiwe hivyo kwa vile anakuja!
Wache wafanye ni aibu tupu
yo boss, that's a very poorly done Photoshop pic and you fell for it, are y'all niggas actually that dumb? waswahili bana, kulalamika tu kila siku, get a grip and go get an education while at it.
Sasa hapa sijaelewa MK254 Kwamba mnataka watu wasitoke ndani? Barabara kufungwa Nairobi kumpisha Obama - HABARI ZA MIKOANI - swahilihub.com nyasi mtihani hadi barabara du!MOTOCHINI Yaani nimezimwagilia maji hadi nimechoka, ila kiaina nimeona dalili ya nyasi kumea kwa siku moja.Obama!!! Obama!!! Obama!!! Obama!!! Obama!!! Amerika yetu!!! Amerika yetu!!! Amerika yetu!!! Amerika yetu!!!
aibu gani mkuu wakati nyie mlipiga deki barabara, hahaha yani literally mliosha barabara alafu una ubavu wakudai ati ni aibu kupanda nyasi, aise nyinyi watu ni vichekesho tu.
Acha kudharau watu wewe! nani hatambui photoshop! hapo ni maandishi wame edity eneo ndio hapo ktk barabara ilyo pandwa nyasi kwa siku 3 ziwe zime mea du!Kamanda Smatta utahangaika sana ukijaribu kuwaelimisha hawa kuwa hiyo ni photoshop editing, wengi hata hawatajua unongea kuhusu nini, waache hivyo hivyo. Yaani ikiwezaka slap it on them, waonyeshe jinsi tunamshobokea Obama na kufurahia kila kitu hata kama itabidi kumwekea mkeka kila akanyagako.
Kwa ushamba wao kwa cku atakazokaa obama kenya wakenya wote watajiona na wao wamarekani kwa muda
Iwe imefanywa Tz au Kenya
Kitendo cha kumpiga mtu kiasi hicho kisa amekanyaga nyasi.NIAIBU KUBWA KWA NCHI YEYOTE IWE KENYA,TANZANIA HATA AMERICA YENYEWE
NI AIBU.
Kamanda Smatta utahangaika sana ukijaribu kuwaelimisha hawa kuwa hiyo ni photoshop editing, wengi hata hawatajua unongea kuhusu nini, waache hivyo hivyo. Yaani ikiwezaka slap it on them, waonyeshe jinsi tunamshobokea Obama na kufurahia kila kitu hata kama itabidi kumwekea mkeka kila akanyagako.
mkuu...jamaa anakaa masaa nane tu!!