Duh! hii kali.Hahahahahaha swaala la umeme nishida,,,,mchana hakuna kuwasha usiku tu
Nakumbuka Mtoto Wangu Alishawahi Kumuuliza Mtoto Wa Chumba Cha Pili Kwamba. "Shakira Kwani Mama Ako Alikua Analilia Nini Usiku Au Baba Ako Alimpiga??. Me Baada Ya Kusikia Hilo Swali Nikavunja Kikao Chao Kwa Kuwafukuza.Halafu kuna wakati wanayoyafanya huko ni aibu tupu lakini wanafanya kwa sauti kuuubwaa
Ni kweli bt usumbufu toka kwa majiran sometime unapungua,lakn kwa wenye ndere hata mama mwenye nyumba anadandiwa na maisha yana songa!!Lakini ujue ndio kifungo hicho kwanza kumhudumia mamkwe kisha mkitofautiana unatishiwa kufukuzwa
Me Nadhani Kero Kubwa Kuliko Zote Ni Zile Sauti Za Msuguano Wa Kitanda Pia Zikichagizwa Na Miguno Ya Kimahaba Toka Chumba Jilani.
Mkuu Usimbee Yakukute Hayo Mambo Wakati Upo Single Kwani Unaweza Ukahama Nyumba Bila Kupenda .
KHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAALakini pia kuna raha zake hasa mwenye nyumba akikupenda anaweza hata kukupigia pande kwa binti yake
Hahahahaha mkuu fuatilia damu yako hiyoNakumbuka zamani kidogo nilipanga chumba na sebule uswahilini vyumba vya uani. Mama mwenye nyumba alikuwa na mtoto wa dada yake wa kike anaishi naye. Huyu mtoto wa dada yake alikuwa na mtoto mdogo. Kwa sababu ya ubusy nikawa nampa hela yule dada anifulie nguo na hii ilimsaidia angalau kupata kipato. Mara nikirudi kutoka kwenye mizunguko yule dada alikuwa anakuja kwangu tunapiga story baadaye anaondoka. Sikuwahi hata kidogo kumtamani wala kuwaza kulala naye. Kipindi kile mdada mwenye mtoto mdogo hata anipe bure nilikuwa siwezi.
Siku moja rafiki yangu mmoja mwenye mazoea na yule mama akaja kuniambia mama mwenye nyumba anasema umempa mimba mtoto wa dadake. Dah! nikamuuliza yule rafiki yangu, yule mama nakaa naye nyumba moja kwanini asiniambie akuambie wewe? nikaona isiwe tabu. Asubuhi yake nikamvaa yule mama. Nikamwambia nasikia taarifa nimempa ujauzito mwanao? yule mama akasema afadhali umekuja. Yule mdada akaitwa. Nikamuuliza mbele ya mama. Nasikia nimekupa ujauzito? yule dada akaruka 'mimi ? nani kasema? mi hujanipa ujauzito'
Kabla ya hapo kama wiki moja hivi iliyopita yule mdada alikuwa ameniambia ana mazungumzo na mimi ila mambo yangu kifedha yalikuwa sio mazuri. Nilijua anataka hela. Kwa hivyo nikampotezea. Nikamwambia kuna sehemu nawahi nikirudi basi tutaongea. Hapo ndipo nikaunganisha dots. Kumbe labda siku ile alikuwa anahitaji msaada wangu kuhusu ujauzito.
Story ndefu ila siku mbili baada ya kumwuliza yule dada kama nina ujauzito wake mbele ya mama yake. Jioni wakati nimerudi nikakuta hirizi mlangoni kwangu. Nikaikota hiyo hirizi nikaifungua ndani kuna karatasi ina maandishi mekundu ya kiarabu na kucha. Baadaye nikampelekea mchungaji wangu tukaichoma moto.
Nilikuja kuhama ile nyumba na nasikia mtoto alizaliwa na akapewa jina langu. Sikuwahi kufatilia kwa sababu hata chuchu za huyo dada achilia mbali papuchi sikuwahi kushika. Maisha ya kupanga bwana.
hahahahahahahaha majangaaa na wakati unkula mzigo utaskia vicheko vya kuudhi usawa wa dirisha ..... na unaweza kuondoka na mpendwa wako vicheko vikakusindikiza mmmh1.kurudi home unakuta kundi la wapangaji wa kike na ndugu wa maza hauzi wa kike wamejaa korido mpaka mlangoni kwako.
2.mamama kukaa na kupiga stori karibu na mlango wa chooni, chelewa kutoka uone watakavyokuangalia ukipita.
3.umeanika nguo hazijakauka vizuri, mwingine anazikusanya mpaka mwisho kule anapanga za kwake.
4.ukileta demu kila mtu lazima aulizie.huyo ndio wifi yetu nn?
5.unaamka asubuhi kwenda chooni ukidhani utakuwa wa kwanza na utarelux cha kuchosha unakuta foleni kama kawa.utaskia mtu anaguna mmmmh mmmh.
@ Mapovu hata chuchu sikuwahi kushika sembuse kumgegeda🙂 . Kipindi kile cha ujana hata nikisafiri na mama mwenye mtoto seat moja nilikuwa radhi kuahirisha safari. Sembuse mwenye mtoto anipe gegedo?Hahahahaha mkuu fuatilia damu yako hiyo
DUH!