Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
Waisrael na mtume au uislam vimefikaje hapa! Mara ngapi yesu anachorwa na kuitwa mwizi wa mbao na nyie wapinga Kristo, na wakristo wakiwavumilia na kumwomba Mungu wao awatendee awezavyo yeye nyie hizo nyege za kumpigania mtume kwa kumwaga damu za watu mnazipata wapi?
mimi ni mkristo ila sijachukizwa na kibonzo hiki..
ningepata nafasi ya kuwashauri ningeshauri watoe toleo la kiswahili ili nifaidi ziadi.
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata
Sijaelewa....
I smell something here............
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata
Nimejikuta nacheka vibaya sana!
unapenda pia mwanao anaekwenda sunday school aone hicho kikatuni?,akikuuliza swali kuwa hapo yesu anamfanya nini mungu utajibu nini?
Nimejikuta nacheka vibaya sana!
wewe ndio tatizo, michoro inaitweje kama unafatilia?dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya bwana muhammad wakati hakuna anemjua
muhamadi kwa picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
Pamoja na kibonzo hiki hakuna mkristo aliyechukua silaha yake akaenda kuwapiga risasi wachoraji wakristo wanamuachia Mungu na kuwaombea awasamehe maana hawajui walitendalo
Hiyo ndo tofauti ya uislamu na ukristo
Hiyo ndiyo upendeleo au double standard wa nchi za Magharibi na Umarekani, unaweza ukatukana au ukachora katuni za viongozi(Mitume) wa dini na ukawakashifu, inayofuatwa na mabilioni ya watu ulimwenguni kwa kisingizio cha free speach, lakini unaweza ukafungwa jela kwa kuuzungumzia vibaya uteketezwaji wa wa Waizraeli uliotokea nchi za Magharibi.
Hawa sio wanachora katuni imeandikwa Mohamad bali wanaelezea na kuandika wazi hii katuni ya Mtume Mohamed(SAW).Tatizo wanaenda kuwabuguzi wengine , kwa nn wavamie mahali watu wanachora kisa katuni imeandikwa Muhammad
Wakati kuna akina Muhammad's wengi ,
Uislam ni dini ngumu sana!
DINI RAHISI "ushoga"