Vibana makalio hadi misibani - ebu tujiheshimu ebo

Wakati mwingine kutibu makovu hakuangalii uko wapi. Bi mkubwa hakuvaa suruale utotoni na ujana ulimpita kavukavu ndo maana anauza nyago msibani. Kwa umri alionao si wakati wa kuvaa vibana ma*a*io
Eh Mungu tujaalie tupate vazi la taifa haraka lenye kulinda hadhi ya mwanamke wa kiafrika mwenye thamani

Mambo yalivyo sasa hata vazi la Taifa liwe refu au lenye kuhifadhi maungo kiasi gani...Lazima litabanwa na kufupishwa tu a.k.a tailor-made kivazi..
 
tatizolenu mmeishi sana vijijini..sasa hapo kuna tatizo gani?
Mkuu mbona nahisi hujiamini kama ulikuwepo mjini. Kiukweli wa mjini hatukuwahi kuwa na mavazi hayo (tuombe radhi) wasiojiamnini hutafuta figure ya kujitambulisha kuwa walikuwepo. Pupa ya kudhani kila kitokacho Ulaya ni dhahabu na ndo umjini imewafikisha mahala washamba kurukia kila kitokacho huko na kujionyesha wao ni wa mwanzo. Mtu mwenye busara huangalia na kupima kuona hii imekaaje. Sote chimbuko letu ni kijiji kwa hiyo hakuna asiye na sili hiyo, ni busara yako tu. Kama huko mjini ndio maadili yenu basi ni washamba zaidi ya walioko vijijini. Na hii avatar yako ndo inakutambulisha kuwa we ni wa Mirikani? makoti ya mabwege wa Los Angeles ndo mavazi ya vibonde wa mjini. Mtalizwa sana mwaka huu
 
Mnako elekea mtasema akusalimiana na jk,maana watu wenye mawazo mgando kama pasco wapo wengi sana humu jf.
 
tusiende mbali kijana wewe hapo unatumia internet ila kama hujui internet ina mambo mengi machafu sana na kwa upande mwingine ina mambo mazuri pia .wewe umeenda kwenye msiba kuangalia huyu kavaa nini? ofcourse hilo vazi la huyo mama mimi naliona kuwa ni la kawaida na ni haki yake kulivaa. wewe ulikuwa unataka avae nini? wewe ndio mchafu kuchungulia chungulia fulani kavaa nini na kaja na nini kabeba simu gani...unaonaje ukaenda kwenye msiba ukafanya mambo yako na ukaondoka zako..isitoshe huyo ni mtu mkubwa tena kiongozi wako inaweza kuwa
 
Mnako elekea mtasema akusalimiana na jk,maana watu wenye mawazo mgando kama pasco wapo wengi sana humu jf.
jamani evolution .zamani watu walikuwa wanatumia simu za mshindi lakini sasa hivi wanatumia i phone 4..mbona hulalamiki?
 
Mavazi! Ni vema kujadili discence ya mavazi. Lakini sina hakika kwa sisi tulio wengi uvaaji suruali kwa wadada tumeuona miongo ya karibuni. Kwa hiyo, tukubali kuwa crititique zinazowekwa hapa kuhusu suruali (ambayo ni kuhusu umbo la mtu) zinaendana na historia na legacy yetu kule tulipotoka.Hebu fikiria kama huyu mama angekuwa mwanamme mwenye kitambi, tungemwambia afiche kitambi? Mbona ni umbo lake tu? Sielewi unataka avae vipi na ndo kavaa! Kama ungesema labda nguo za ndani zinaonekana...hilo lingekuwa neno. Suruali has come to stay for some years to come na ningependa wanaume tukubaliane na ukweli huu badala ya kusema wanaonesha vitu gani sijui
 
Mimi naona hapa tatizo kubwa ni mtizamo tu , au na pengine ugovi binafsi au chuki binafsi zisumbua nafsi za watu.
 
Hayo mavazi yanatumiwa na makamanda wa Chadema hivyo sio kosa kwa mama kuyavaa. Suala la nguo kubana halina mashiko kwa watu wenye fikra timamu.
 
mijitu mingine mijinga sana,sasa hapo msibani sijui anataka kumuonyesha nani kama ana makalio ya namna hiyo. Inabidi tuanzishe sheria za kudhibiti upuuzi huu.
 
attachment.php

Huna haya we Dada/Mama na vibana MA*A*KO hadi msibani?; Acha kuharibu heshima ya Mtanzania wewe; Ebo

Kwa waliokuwa msibani hivyo vitu wala hawakuviona! We mkali Mkuu...yaani pamoja na majonzi mazito yaliyotukumba wewe macho pale? Khaaa...!!!!
 
Back
Top Bottom