Vibana makalio hadi misibani - ebu tujiheshimu ebo

Kazamwendo ndugu. kwa mwendo huu wa kubandika kila kinachokujia kichwani utafika mbali na hiyo status yako. Inaonekana una usongo wa kuwa JF Expert within a month. keep it up

Nipo mda mrefu tu kama guest user,
nikisoma watu wasivyotaka kuona wavipendavyo vikikosolewa. laiti huyu dada angekuwa wa upande wa pili (mlengo wa kushoto) wengi wenu mngemshukia na kumshutumu kuwa katumwa kuharibu shughuli.
Nimeshakuelewa kinacho kuuma
 
attachment.php

Huna haya we Dada/Mama na vibana MA*A*KO hadi msibani?; Acha kuharibu heshima ya Mtanzania wewe; Ebo

Mkuu RICH OIL naomba nikufahamishe kitu ambacho sii rahisi mtu asiyetizama mambo in three dimension anaweza kukifahamu. hicho unachokiona siyo kibana makalio, ni combati ambayo ni nguo ya kazi ambayo huvaliwa na makamanda pamoja wapiganaji wao. kwani wewe hujui kama huyu mama ni mmoja wa makamanda wa jeshi la kupigania ukombozi wa wananchi wa tanzania wanaokandamizwa na mafisadi pamoja na serikali yao waliyoiweka madarakani na hapo alipo yupo kazini kumzika kamanda mwenzake aliyepata ajali akiwa vitani?? mimi kama askari ningemshangaa sana kama angetokea amevaa DERA kama ambavyo unaona wewe kuwa ungekuwa ni muonekano wa heshima. Hapo mama yuko sawa sawa kabisa mkuu wala usilete utani sisi tupo kazini wewe endelea kufunga kilemba kama mwali tuu..... mwanaume mzima hovyooooooooooooooooooooooo............................
 
Wakati mwingine kutibu makovu hakuangalii uko wapi. Bi mkubwa hakuvaa suruale utotoni na ujana ulimpita kavukavu ndo maana anauza nyago msibani. Kwa umri alionao si wakati wa kuvaa vibana ma*a*io
Eh Mungu tujaalie tupate vazi la taifa haraka lenye kulinda hadhi ya mwanamke wa kiafrika mwenye thamani

Umemsoma yaani kashazeeka; mda ushamtupa mkono. HAYO SI MAMBO YAKO, USHAPITWA NA WAKATI. Hata tight yenyewe haikai mmwilini ipasavyo. we bibi vp!
 
sijaona hasa ni nini kimekukwaza hapo mkuu...amevaa vizuri tuu. nadhan ni jeans hiyo taiti....no harm mkuu.
 
lol umeona enh tena atakuwa kaja kwa mbio za mwenge , anataka wa2 wa ishi anavyotaka yy.
tumetoka ktk jamii tofauti ndugu, usilazimishe ya gezaulole daslam bana.

Born in Magomeni mapipa mwinyimkuu St - DSM, Raised in Sinza DSM: 6 years secondary education in AZANIA BOYS DSM: 6 years (MBA) UDSM. Living In Sinza DSM since 1983. Pole wewe ulokuja kusoma UD Ukitokea MASWA ukalikita na sasa unajiona wa mjini.
 
Mkuu RICH OIL naomba nikufahamishe kitu ambacho sii rahisi mtu asiyetizama mambo in three dimension anaweza kukifahamu. hicho unachokiona siyo kibana makalio, ni combati ambayo ni nguo ya kazi ambayo huvaliwa na makamanda pamoja wapiganaji wao. kwani wewe hujui kama huyu mama ni mmoja wa makamanda wa jeshi la kupigania ukombozi wa wananchi wa tanzania wanaokandamizwa na mafisadi pamoja na serikali yao waliyoiweka madarakani na hapo alipo yupo kazini kumzika kamanda mwenzake aliyepata ajali akiwa vitani?? mimi kama askari ningemshangaa sana kama angetokea amevaa DERA kama ambavyo unaona wewe kuwa ungekuwa ni muonekano wa heshima. Hapo mama yuko sawa sawa kabisa mkuu wala usilete utani sisi tupo kazini wewe endelea kufunga kilemba kama mwali tuu..... mwanaume mzima hovyooooooooooooooooooooooo............................

Futile comments!!!
 
Born in Magomeni mapipa mwinyimkuu St - DSM, Raised in Sinza DSM: 6 years secondary education in AZANIA BOYS DSM: 6 years (MBA) UDSM. Living In Sinza DSM since 1983. Pole wewe ulokuja kusoma UD Ukitokea MASWA ukalikita na sasa unajiona wa mjini.

kati ya hawa nani kazaliwa dar?,JK,slaa,mbowe,maalim seif,bakhresa,magufuli,papa msofe,lowasa,zitto na wengineoo.DAR kitu gani
 
mbona sioni ubaya wowote mkuu..............................kawaida sana tu mbona.............................
 
Back
Top Bottom