Vibana makalio hadi misibani - ebu tujiheshimu ebo

RICH OIL SHEIKH

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
883
167
attachment.php

Huna haya we Dada/Mama na vibana MA*A*KO hadi msibani?; Acha kuharibu heshima ya Mtanzania wewe; Ebo
 
Attachments

  • VIBANA MTKO.JPG
    VIBANA MTKO.JPG
    55.9 KB · Views: 1,813
Kwa hali ilivyo kwenye picha hii kwa kweli inategemea na mtu anapenda kutazama sehemu gani ya mwili anapokutana na binadamu mwingine. Mimi sioni tatizo kabisa. Tuweke mapolisi wa mavazi kama enzi za akina Kawawa?
 
Itakuwa mtoa mada ana matatizo ya kisaikolojia yanayomsababisha kuwachungulia akina dada wakienda kuoga! Au atakuwa anaiche KEKO Machungwa!
 
attachment.php

Huna haya we Dada/Mama na vibana MA*A*KO hadi msibani?; Acha kuharibu heshima ya Mtanzania wewe; Ebo
Pole mkuu, unatafuta nini ktk mavazi yake? kama siyo kujikwaza huko? Ungemwangalia kwa mwono mwingine au usingemzingatia tu! basi siku yako ingekuwa bomba!
 
Kwa hali ilivyo kwenye picha hii kwa kweli inategemea na mtu anapenda kutazama sehemu gani ya mwili anapokutana na binadamu mwingine. Mimi sioni tatizo kabisa. Tuweke mapolisi wa mavazi kama enzi za akina Kawawa?

Hapo si maala pa mavazi hayo -FACT
Mbona wakienda ukweni wanajistiri vizuri tu kwa kuwaogopa wakwe.
 
Itakuwa mtoa mada ana matatizo ya kisaikolojia yanayomsababisha kuwachungulia akina dada wakienda kuoga! Au atakuwa anaiche KEKO Machungwa!

Kwanza jifunze kuandika vizuri; pili uwe na heshima na watu wa keko kuna watu wa maana sana zaidi yako: Tatu pole sana kwa kuamini kuwa Wanaoishi mbezi/masaki ndo watu; Nne Angalia wakina mama wengine waliopo kwenye picha ndo wanaojua hasa thamani ya mwanamke hasa kwenye misiba.
 
<dl class="userstats">Join Date : 2nd January 2012

Location : QATAR/DAR ES SALAAM
Posts : 23

</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 307

</dl>

Huna haya we Dada/Mama na vibana MA*A*KO hadi msibani?; Acha kuharibu heshima ya Mtanzania wewe; Ebo

Kazamwendo ndugu. kwa mwendo huu wa kubandika kila kinachokujia kichwani utafika mbali na hiyo status yako. Inaonekana una usongo wa kuwa JF Expert within a month. keep it up
 
Heri yake Ndugai kaaamua kutizama chini ila Zitto yeye kamtolea macho sijui anapata picha gani na Mh>Mbowe kwa kweli hatuwezi jua maana macho yako ndani ya miwani....na mimi hio ndio tafsiri yangu ila LAITI tungekua tunamheshimu MUNGU yote haya yangepungua, sizungumziii dini
 
Wakati mwingine kutibu makovu hakuangalii uko wapi. Bi mkubwa hakuvaa suruale utotoni na ujana ulimpita kavukavu ndo maana anauza nyago msibani. Kwa umri alionao si wakati wa kuvaa vibana ma*a*io
Eh Mungu tujaalie tupate vazi la taifa haraka lenye kulinda hadhi ya mwanamke wa kiafrika mwenye thamani
 
Back
Top Bottom