Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,006
- 60,099
hhahahaha,ama kweli hizi ni akili za panzi.kwanza tu kutembea na mtu ambae kabisa unajua ni mme wangu tayari hapo kuna ualakini,maanaake wewe umekosa kijan mpaka unatembea na alieoa?huoni hapo unanipandisha chati.kwanza usiombe nimpigie simu naumwa uone atavyowasha gari,ila wewe ukimpigia simu atakuambia nipo na huyu mkewangu,Is just a matter of time,utajuuuuuuuuuutaKama kuolewa ni nishani ushavikwa ngapi? Mbona amekuchit? Tena watatu at the same time? Deal with your man kudil na anaochit nao haisaidii mfanye akuone umewazid hao anaowafata uone kama atachit tena