vibaka wa ndoa

vibaka wa ndoa

Na hao wanaume pia wabatize. Mimi naamini it takes 2 to tango. Wote wanamakosa, kwani na huyo mme kapitiliwa kwamba anafamilia?


hapo sasa! mtu anajua kabisa ana familia huko nje anafata nini?
 
Wako akiwa kwako bibi weee,akitoka nje wa wote! kwani mtoto mdogo asijue kama ana mke, watoto na wajukuu? alifatwa au yeye ndo alifata? unataka wenzio wakale wapi polisi? kizuri kula na wenzio atii!

Mkuu naona kama umejificha hivi?
 
Wanaume wengi hawajatulia hata kidogo,kuna kidumu cha mme wangu kilikuwa kinadanganywa basi kikajiona yeye ndo yeye,hakujua kuwa mwanaume kama hajatulia hajatulia tu,kumbe vidumu wapo kibao,nikawaangunisha watatu wote wakajuanaaaa,hahahah Mme wangu alivyokuwa anawadanganya hadi huruma.Halafu sasa wao walikuwa hawajuani,kila mmoja alinijua mimi tu.So kila mmoja alijua baada Ya mkewe yaani mimi basi ni yeye.Wanaume ni janga la taifa

Yaani wanaume na wanawake design hii siwapagi respect kabisa. Ukiwa na mme/mmke design hii bora umtoe sadaka ubaki unamuombea tu - asije yeye akakutoa kafara na yeye ndo kachagua starehe...
 
na wewe ukijua kuwa ni mme wa mtu,kwa nini unaendelea nae?na nyie wanawake mnaotembea na waume za watu ni janga la taifa pia.mnaharibu familia za watu ambazo ndo msingi wa Taifa

wamebandikwa lebo?
 
mm nadhani wakumlaumu ni mume wako, usikurupuke na wanawake wenziyo kwani nao wametongozwa kama ww, you should have a long talk with your man .. find out what he wants in those women .. mhh watatu kazidisha nawe unachekelea ... umekula kwako bibi
 
asaume yeye tayari ana ukimwi si atakupa pia,eti kisa kizuri kula na wenzio

je kama mimi ndo ninao, na wewe si atakupa pia? na kumbuka yeye ndo alifata mimi.
 
sitetei wanaotembea na waume za watu.... Ila napinga kuwaita kuwa ni vibaka... Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuibiwa.....hivi hao wanaume hawajui kuwa wana wake ??? Hawajui kuwa wana familia? Kwa nini wasiziheshimu??????

Mwanaume mpumbavu huangaika na wanawake wa nje
 
mm nadhani wakumlaumu ni mume wako, usikurupuke na wanawake wenziyo kwani nao wametongozwa kama ww, you should have a long talk with your man .. find out what he wants in those women .. mhh watatu kazidisha nawe unachekelea ... umekula kwako bibi
vitu vingine inabidi ucheke tu,mtu kama huyo utamsaidiaje?
 
Waume za watu watamu nyie acheni mie niliwahi kuwa naye m1 wako mature na wanajua how to handle a lady
 
wewe ndo unaetaka kula vizuri,hata kama akikufuata kwani lazima ukubali?

sasa ukute nipo singo nahitaji mtu wa dizaini ya mumeo nimkatae kwa sababu gani? sema na mumeo dada,wanawake wenzio hawana kosa lolote,kwani hajui kama amekuoa na upo ndani kwake? kwa nini akuache akahangaike na dunia?
 
Back
Top Bottom