vibaka wa ndoa

vibaka wa ndoa

Yaani wanaume na wanawake design hii siwapagi respect kabisa. Ukiwa na mme/mmke design hii bora umtoe sadaka ubaki unamuombea tu - asije yeye akakutoa kafara na yeye ndo kachagua starehe...
mfano mtu kila safari anayokwenda anatongonza,mwingine receptionist wa Dodoma hotel kadanganya na mwanaume eti hajaoa.Wanaume wengine ni mabwege kweli
 
Pata picha mwanaume handsome afu kunako majambozi anajiweza kwanin nikatae? mm ninaye m1 mara kibao tunakumbushia anagemuka huyo usipime
wewe ndo unaetaka kula vizuri,hata kama akikufuata kwani lazima ukubali?
 
sasa ukute nipo singo nahitaji mtu wa dizaini ya mumeo nimkatae kwa sababu gani? sema na mumeo dada,wanawake wenzio hawana kosa lolote,kwani hajui kama amekuoa na upo ndani kwake? kwa nini akuache akahangaike na dunia?
wewe hatuelewani mimi naongelea mwanaume ambae anakutongonza,anakuambia kabisa kaoa,ila anakuambia ana mpango wa kumuacha mkewe,na wewe unaingia mkenge eti kisa kizuri kula na wenzio
 
Long live waume za watu masharobaro endeleeni kujihashua hamna chenu siku hizi masingo lediz wanadil na married guys tu
 
Long live waume za watu masharobaro endeleeni kujihashua hamna chenu siku hizi masingo lediz wanadil na married guys tu
unaposema hivi unamaanisha hutokuja kuolewa?kama utaolewa na wewe mmeo atatoka nje hope utafurahia,maana miaka inakwenda usifiriri utabaki kuwa kama ulivyo leo.
 
Huwa hawasemi kuwa wanataka kuwaacha wake zao wanasema wanataka fun ambayo mkewe kwakuwa outdated hawezi mpa so mkewe atabaki kuwa mkewe ila sisi tutakuwa naye kula bata whenever possible
wewe hatuelewani mimi naongelea mwanaume ambae anakutongonza,anakuambia kabisa kaoa,ila anakuambia ana mpango wa kumuacha mkewe,na wewe unaingia mkenge eti kisa kizuri kula na wenzio
 
Huwa hawasemi kuwa wanataka kuwaacha wake zao wanasema wanataka fun ambayo mkewe kwakuwa outdated hawezi mpa so mkewe atabaki kuwa mkewe ila sisi tutakuwa naye kula bata whenever possible
Akili za panzi,na siku na wewe ukiwa outdated?kazi ipo
 
Hizi ngonjera za kuelekea wikeend

Shetani anawaita watu wake kwenye vikao vya faragha eti ......
 
wewe hatuelewani mimi naongelea mwanaume ambae anakutongonza,anakuambia kabisa kaoa,ila anakuambia ana mpango wa kumuacha mkewe,na wewe unaingia mkenge eti kisa kizuri kula na wenzio[/QUOT

siku hizi kidijitali zaidi sidhani kama wanasema uongo wa hivyo.
 
Ndoa haipo kwenye plan za maisha yangu mie nala bata bwana while i can mjue married guys wana experience na wako watamu sana kitandani
unaposema hivi unamaanisha hutokuja kuolewa?kama utaolewa na wewe mmeo atatoka nje hope utafurahia,maana miaka inakwenda usifiriri utabaki kuwa kama ulivyo leo.
 
unaposema hivi unamaanisha hutokuja kuolewa?kama utaolewa na wewe mmeo atatoka nje hope utafurahia,maana miaka inakwenda usifiriri utabaki kuwa kama ulivyo leo.

changamoto tu za ndoa hizo,ukikubali kuolewa inabidi ujue kabisa kua ipo siku mmeo atakucheat tu.
 
Ndoa haipo kwenye plan za maisha yangu mie nala bata bwana while i can mjue married guys wana experience na wako watamu sana kitandani
aisee,utakuwa young forever,as for you,future is not part of your vocabralies
 
Nitakuwaje outdated wakati sijazaa? huwezi linganisha binti na mama wa watoto watatu tofauti ni kubwa sana married men rocks
Akili za panzi,na siku na wewe ukiwa outdated?kazi ipo
 
Back
Top Bottom