Viatu vyetu, tutafika tuu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viatu vyetu, tutafika tuu...

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 25, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Yaani huu ndio mwisho wa kufikiria, khaaaaa
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  zina faida pia kwa Mtz wa kawaida, ni cheap na zinadumu ila zinadumaza fikra na ubunifu!
   
 4. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280

  Mbona viko bomba tuuu!!


  Vinaitwa "mtanjeko"!
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 7. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  hapa mkuu umezidisha utani teh he he he...
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hata hao wa supra na nyinginezo! walikuwa na mawazo ya kuanzia huku! sema walionekana wakawezeshwa ndo mana unaona wako mbali! wetu tukiona wanamawazo na ubunifu kama huu, tuna wafukuza maeneo yao,na tunapiga marufu biashara ya matiri chakafu! sasa wataendeleaje ikiwa hawawezeshwii! mwalimu wa veta jagundua gari linalotumia solar! chombo cha kuifazi watoto waliozaliwa chini ya miezi husika kinachotumia solar,kifaa kinachotoa sauti kufukuza mbu, chombo cha kuvutia samaki baharini kwa sauti! ila ndo kwaaanza hatuwathamini! tunaagiza eti mafuta yakupaka kukimbiza mbu ya mchina! bongo tumepotea! ukitaka kuona haya na kuyajua, skilizeni supamix eastafrica redio na kuangalia uswazi cha eatv! ndo utajua kama kuna wabongo wanafikiria na wanaubunifu! ila hawawezeshwi tu! sasa mtu kama huyu alieweka ivi viatu, akipewa elimu na chombo cha kutengenezea design mbali za viatu! we unafikiri atakuaje? very best
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  hizi bado zinatumika au ziko makumbusho?
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  tabora wanaita makatambuga.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Manyara Tunaita "Maraio"
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  ...and life goes on.
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mang'ati
   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Lakini tuacheni utani jamani, are these supposed to be students from any of our schools?
   
 15. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nani kasema hapo ndio mwisho wa uwezo wetu wa kufikiria?
  Wengine kama Masoud Kipanya wamethubutu na wamesonga mbele:

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  MAISHA BORA KWA KILA M TANGANYIKA inaleta woga sana hii picha Mbuzi Mzee :redface::A S-confused1:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Asalaam alykum bibie Mwali hujambo? umepotea kama shilingi ya mkoloni? Nime ku miss sana.....................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Mkuu kumbuka bado tupo kwenye Ramadhani,
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Wewe Mwali watoto wa mafisadi wako matajiri ndio wanavaa hivyo!

  Yako ngumu kumesa!
   
Loading...