ahhhahahhahahhahhhahhahahahha tumezidi enh?sa unafikiri kuna kutafuta rehab hapa kamwali!Hahahaa
Kila mtu huwa teja kwa kiasi chake japokuwa nyie mmesonga mbali mno!
raha ya kuwa teja ni kufika kwenye max point, lol! hiyo ni according to me
shost mi ofisini nina pair kama 3 hivi... vya kimasai yan flat kabisa... flay vya kudumbukiza... virefu sana... virefu vya kawaida ndo huwa natoka navyo home. Nikifika navua navaa flat either ya kudumbukiza kama nitakuwa nimevaa suruari.. au navaa vya kimasai ya open kama nimepiga kimini lolest!!!!! kama natoka nje ya ofisi bila kutumia gari navaa virefu kiasi na kama natumia gari navaa virefu... Dah mpaka nimekuwa mtumwa wa viatu!!!
ha haaaaaa, umeua mlongo wangu, lol!yani kitu mpaka usingizi shingo upande ndo unasema YEEES!kitu cha pakistani hiki lol!
kwetu ndo kama unavyoona mlongo wangu, "tunashikamana", lol!
raha ya kuwa teja ni kufika kwenye max point, lol! hiyo ni according to me
safi sana mlongo wangu,Haya bana mie sina la ziada!
ahhhahahhahahhahhhahhahahahha tumezidi enh?sa unafikiri kuna kutafuta rehab hapa kamwali!
manake teja ili apone unga umkere!sasa kama haumkeri ndo basi tena anajidunga tu kila siku af hakuna uteja mbya kama wa kujidunga sindano!uuuuwih!
safi sana mlongo wangu,
basi ngoja nimwite rafiki yetu BAK akuchagulie muziki wa kukuburudisha
ahahhahahhahahhah umejuaaaaaaje!chezeya making a teja palace wewe!lolIT TAKES A MAN TO CONSTRUCT A HOUSE BUT IT NEEDS A WOMAN TO MAKE A TEJA PALACE!
Si ndiyo???
Nyie jisemesheni tu hapa!
kwani uongo dada mkubwa!teja gani haliangushi shingo upande baada ya kujidunga?ha haaaaaa, umeua mlongo wangu, lol!
chezeya mateja weye?
upo sahihi kabisa mlongo wangukwani uongo dada mkubwa!teja gani haliangushi shingo upande baada ya kujidunga?
mlongo wangu nimesikiliza maneno ya rafiki yangu BAK anasema ukishikwa shikamana, sasa na mimi nimeamua kushikamana wengo......... nisije nikaanguka bure, lol!
za magono mlongo wangu
Mwambie aniwekee ya kiganda! lol
Hivi hii sredi imekuwa ya Wangoni?
Huo uteja wenu na nyie bana, muwe mnapunga upepo walau kushuhudia mengine!
Hivi hii sredi imekuwa ya Wangoni?
mi rehab sitaki!chezea uteja weye kisweet!!! Ukishakuwa teja huwezi kuyakumbuka mengine unachokumbuka 24/7 ni uteja tu ndio maana kuna umuhimu wa kuwekwa rehab ili kupata matibabu ya maradhi hayo ya kuwa teja.