Viatu vya Kiume vinauzwa

Viatu vya Kiume vinauzwa

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Posts
1,601
Reaction score
964
Wakuu nategemea kuleta mzigo wa viatu vya kiume kutoka state, ni dressing shoes ( moka) kwa wanaume. Bei ni dollar $120 flat. Ukichukua pair 3 na kuendelea bei ni $110. All price are in USD.

Kama upo interesting ni inbox kwa kujua size ya mguu kama ninayo. Vilevile ninatoa ushauri kuhusu viatu kwa mtu yoyote bure (free).

8267461.jpg8304962.jpg8183869.jpg8355214.jpg8329765.jpg8125559.jpg8314754.jpg7967570.jpg8334380.jpg8361672.jpg8375219.jpg8076093.jpg8334371.jpg8301359.jpg

Kama kuna sample maalum ya kiatu unaitaji, special designer ni inbox.
 
Viatu vizuri ila hiyo pesa sina mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mmmmh bei! Vina four wheel drive (4WD)au 2WD, Mileage inasoma ngapi?
 
mkuu viaatu ni vizuri ila bei iko juu binafsi nahitaji kwa budget ya 70000 kama upo interest ni pm nikupe size
 
Si mchezo viatu vizuri ingekuwa usd 50 ningenunua.
 
Don't seems like new or special here in town,if you move around Dar you'll find many in shops,wanatoa China.
 
Wakuu nategemea kuleta mzigo wa viatu vya kiume kutoka state, ni dressing shoes ( moka) kwa wanaume. Bei ni dollar $120 flat. Ukichukua pair 3 na kuendelea bei ni $110. All price are in USD.

Kama upo interesting ni inbox kwa kujua size ya mguu kama ninayo. Vilevile ninatoa ushauri kuhusu viatu kwa mtu yoyote bure (free).

Viatu ni vizuri, lini unatarajia kuleta huo mzigo?
 
Usawa mrefu huu, kwa laki laki ningewachukulia wanangu.
 
Ukitulia unavikuta kwenye mitumba!

Don't seems like new or special here in town,if you move around Dar you'll find many in shops,wanatoa China.

And at cheaper prices!!

Wakuu unajua kuna watu price means ubora, status na upekee, unajua kuna watu kiatu hicho hicho jamaa angesema 10usd wasingechukua (moja kwa moja wangedhani fake au inavaliwa na watu wengi) kwahio akichukua hiki akiona ni cha US na bei ya juu hata miondoka inabadilika na confidence inazidi na anajiona yupo standard.., issue inakuja je ni kweli value/price yake ni hio kweli ?

Mfano mzuri kuna jamaa yangu alikuwa UK anachukua nguo/mashati primark na Next Clearance chini ya pounds kumi ila akija huku kwa marafiki zake wanafanya kazi mabenki anawapiga hata mara tano ya hio bei.., ila wanagombania wakijua ni UK na hence ni bora.. Kwahio hizi luxury / cosmetic products mara nyingi au kupendeza sio determinant.., bali ni perception ya mtu na muuzaji amei-position vipi bidhaa yake na kwa market ipi ?
 
Back
Top Bottom