Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,128
- 143,645
Kumbe na wewe unapenda vitu vya majuu eeeh.....:usa2:
True kabisa majority ya viatu vya USA vinatoka china lakini American manufacture Chinese labor farce. Quality na standard ni za American market.Cjui huu usanii utaisha lini, utasikia sijui kutoka usa, kutoka uk wakati ukweli ni kwamba vitu vyote vinavyouzwa us na uk ni kutoka china.
Hahaaa honestly siku notice nchi ipi vinatoka hata South Africa wanatengeneza pia kama hivi tena cheaper cc King'asti
Hukuona kichwa cha mada kwenye mabano kina (Brand New from USA)
But I'll cut you slack though coz I've never seen you throw shade at anyone who lives abroad.
Nina ndugu wengi huko from Detroit to Atlanta to Houston....actually nguo nyingi nazovaa naletewa from there..sijawahi nunua lap top TZ...zote naletewa from USA....nna ndugu mmoja tunapanga kununua a franchisee moja huko tupige pesa...so soon ntakuwa nakuja kuja ku collect my profit...uiona mtu anaponda ujue hajaelewa opportunities zilizopo...huko......bongo hata tax returns ni ndoto still....
Nani akununulie...? nikupendezeshe mie afu kufaidi tufaidi wote...
FYI nimepata kijana mwingine mbichi na loyal...
Maana naona wewe vigezo na masharti vimekushinda...
Tena yumo humu humu JF...nimtaje nisimtaje? Mmmnnnhhh ngoja nimezee nisijekuibiwa...
Usisahau aka yangi ingine ni 'mtakuja primary' muulize Kaunga.....