Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,734
- 209,053
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan kila nilkiangalia kiatu kuna picha ya mtu inanijia kichwani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan kila nilkiangalia kiatu kuna picha ya mtu inanijia kichwani[emoji23]
Mi ni mzee naepitwa na fashioni
leteni za awamu ya 5,wanazingua
Itabidi niunge mkono juhudi tuNitajitahidi kukufanya uendane na kasi ya awamu ya 5
Hahahaha hiyo midole sasa jamani sio kwa kunichoka huko
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaunga mkono kwa niaba yakoItabidi niunge mkono juhudi tu
AsanteeNitaunga mkono kwa niaba yako
Kwa hiyo?mkuu kwani kuna tatizo gani mtu akitoa content social media nyingine ? mbona mimi hua natoa story kwenye vyombo vya habari nakuja kusimulia huku
Sent using Jamii Forums mobile app
We naeHuu ubunifu mngeutumia kuzalisha mali mngekuwa mabilionea 😀😀😀😀
Kwa father babuVinci ulimuona wapii
Huyo ndio unamkuta dukani ankupimia mchele
Bora mchele utaenda kuosha, anakupimia sukariHuyo ndio unamkuta dukani ankupimia mchele