Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Huu ubunifu mngeutumia kuzalisha mali mngekuwa mabilionea 😀😀😀😀
Ni noma mzee buti la jejeMwenye buti la jeje alilete asee
Misikiti yote ya bakwataWapi nitapata alkasusu kwa hapa Tanzania?
😂😂😂😂😂😂😂Halafu mmepatia kweli yani hasa hutwo twa manyoya wavaaji wake wana mashauzi balaa ukute kafuga na kucha sasa ukipishana nae km kitoto cha bata kinaogelea kwenye dimbwi la tope
Sent using Jamii Forums mobile app