Verossa

Verossa

Ninamiliki baiskel Phoenix new model turbo, ila imeisha matairi, nasubiri bosi wangu Mhindi anilipe mshahara nibadilishe tairi nianze kuwatesa mtaani.... utanipenda...

andindilile sitakupenda ng'o,wenzio wanafikiria kufanya ujasiriamali ww umeng'ang'ania kwa mhindi mara mia ungesema kwa baba mwanaisha..............kawatafute wa uswaz ndo size yako.
 
Mtu mzima hatishiwi nyau amu...maaaaan m vere high aisee....nnaeza nkakesha na wewe apa na kesho nkaenda job to make more money so i kan smoke more wen my supplier gets back to bizness....amma make a weed cake!!!!!!!!! Weed na mimi vicheche kama nyie noooo....weed makes me think better....i am...

mmmmmh no comment.........nowdays hapa ndani sipaelewielewi,nilivyoenda likizo fupi nimekuta hali ya hewa ya jf imebadilika,najiweka pembeni kuepusha msongamano
 
mwana koma kuingilia yasiyokuhusu, tena nitake radhi mapema kabla sijakupeleka kwa kadhi, ujui kuwa ni mwezi mtukufu huu
Ile Verossa unayopewaga lifti ndo inahusika hapa, ulifikiri hatuyaonagi ufanyayo ndani?

Imekula kwako shosti
 
600532_440588336039936_252464673_n.jpg
 
Naomba nikusetiri..maana hii verossa nilidhani inabeba wanafunzi tu kumbe na nyie mupo!???:tape:

ujue nini kijana huna jipyaaaaaaaa uliotaka kuuleta ni usengery na hapa umekutana na ------ zaidi ya kiranja wa wasengery.
Binafsi wanaume wanaochongachonga umbea kibao kutaka kujua hiki na kile nawachambua tu.
Sasa futa kauliyako ya kumuita usiyemjua kicheche maana ushahidi huna anyway tafuta verrosa basiiii na wewe uwape lifti.
INSHORT FANYA YAKO NIFANYE YANGU MANENO YA KIPUUZI SIFAGILII
Kama na wewe unaona wivu kuwa kama huyu
DSC_0415.JPG
basi utapanda lifti za zaidi ya verosa
 
amu huyu mwanaume ndio nani ?ni yule aunt wa magomeni???anayekwenda kitchenpaty??astakhafurlah
 
Last edited by a moderator:
amu huyu mwanaume ndio nani ?ni yule aunt wa magomeni???anayekwenda kitchenpaty??astakhafurlah

ndiyo mwenyewe wala hujakosea jirani yake Madame B.
Tena ukimuita mwanaume anakasirika anataka aitwe aunt bilal mash mash
 
Last edited by a moderator:
Bidada mbona hivyo kosa langu nini?? Bi Suu ila pole kwa kukalili mimi sinatena CELICA uliza kingine na Multiple ID yako sasa sijui utasema nini nina miliki Gari ya hela mingi tomboka kama naweza baelesee Kipaji Halisi amu,wasikutishe mimi niwako mahabuba! Smile Nivea nipo ulinzi mia!!
ila na wewe ulibwedea! kula baba, wakijileta kanyaga twende!` he he he he! mke mwenza snowhite hebu kuja pande hii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom