Verossa

Verossa

Bidada mbona hivyo kosa langu nini?? Bi Suu ila pole kwa kukalili mimi sinatena CELICA uliza kingine na Multiple ID yako sasa sijui utasema nini nina miliki Gari ya hela mingi tomboka kama naweza baelesee Kipaji Halisi amu,wasikutishe mimi niwako mahabuba! Smile Nivea nipo ulinzi mia!!

Hivi na wewe katika kupitia kwako toka post ya kwanza mpaka hapa unaweza kunionyesha mahali nilipoandika kwamba wewe ndio mmiliki wa cellica? na hata kama unamiliki je hapa JF ni wewe peke yako? Washobokaji wanajistukia wenyewe makelele kibao!
 
subiri aje huyo KakaKiiza atakutoaje nishai humjui anasuta hamna mfano
 
Last edited by a moderator:
Kumbe siku hizi mafataki wanatumia Verossa, ngoja nikaitafute na mimi nifaidi.
 
Heri huyu verossa...wengi wa siku hizi ni Vitz na Duet mangi!!!

`mungu nijalie demu mpenda pesaaa....asinipende mimi apende verossaa...maligafi ya suruali sio boxaaa...siri mimgi mahali dingi alikosaaa........DAAAAAH!
 
***VEROSSA***

Inside a Verossa you'd think it’s some sleek automobile
There she lost her virginity, her dignity and her guile,

Inside a Verossa, she hopped in a lift home
There she was promised a job, cash and a lifestyle with its entire epitome,

Inside a Verossa he took off her clothes and wit them her dreams
There we lost an MD, a sister and a fine Mrs. Me,

Inside a Verossa an AIDS victim was added to the count
He seemed too good, healthy and well, he drives a Verossa…he just can’t be!

Inside a Verossa she gave in to his touch and caressing
His strokes, electric, sent shocks of pleasure through her vein,

Inside a Verossa he slowly took off her top and
As it came off her head, off also went all warnings from her mama,

Inside a Verossa he unbuttoned her trouser jeans
Letting go of it so easily like one changing from dirty clothes,

Inside a Verossa, does your mama know?
That you were in the front seat, now you are both at the back and the car ain’t go,

Inside a Verossa like it’s yours young girl
Legs you spread n let him take it off girl,

Inside a Verossa his ‘willy’ unprotected you let slip in
Fun wasn’t it…yeah...as it went out and in,

Inside a Verossa it took only three weeks to realize
That you really treasured the monthly breeze,

Inside a Verossa you missed them and what did you think
No I can't be...n the sticks you went to pick,

Inside a Verossa, there you had your first test
Wasn't it what you expected? Congrats, you passed the test,

Inside a Verossa, you thought of calling the special man
Alas! No contacts to let him know what he'd done,

Inside a Verossa…no! on foot you went to the clinic
You are infected, pregnant and 3 supplementary exams to take,

Inside a Verossa you'd think it’s some sleek automobile
There she lost her virginity, her dignity and her guile!!!

Inside a Verossa he took off her clothes and wit them her dreams
There we lost an MD, a sister and a fine Mrs. Me.

Wasalaam wapendwa,
Mentor!

Namtaka mwanamazoezi mwenzangu sakapal aje akusome labda atakuwa anaelewa namaanisha nini kuhusu wewe dogo Mentor.
 
Last edited by a moderator:
noooo cheki star tv mashindano ya kubeba wife

I kant m smoking weeed now for th last tym ths month...my supplier ni Muslim...karibu!!!!!
Asprin najua umemind like mandolini lako siku izi umekosa market kina amu na Nivea wanakimbilia cellica...
Kaizer una nini??!!!
 
Last edited by a moderator:
I kant m smoking weeed now for th last tym ths month...my supplier ni Muslim...karibu!!!!!
Asprin najua umemind like mandolini lako siku izi umekosa market kina amu na Nivea wanakimbilia cellica...
Kaizer una nini??!!!

Hahahahaha dodo thread lako leo limewatoa watu mapovu.......

Bakini na verossa zenu, sie tunatesa na bajaji, zinaingia kitaa mpaka uswazi. Lita moja inakimbia not les than 28kms.....
 
Mentor tuheshimiane ujue mi nakuonaga kama catalyst fulani tuheshimiane kufunua midono wengine sekunde tu na hiko kijeba chako kinachokufata kigamboniii kiambieeee kikuambieeee meeeeengiiiii
I kant m smoking weeed now for th last tym ths month...my supplier ni Muslim...karibu!!!!!
Asprin najua umemind like mandolini lako siku izi umekosa market kina amu na Nivea wanakimbilia cellica...
Kaizer una nini??!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor tuheshimiane ujue mi nakuonaga kama catalyst fulani tuheshimiane kufunua midono wengine sekunde tu na hiko kijeba chako kinachokufata kigamboniii kiambieeee kikuambieeee meeeeengiiiii

Mtu mzima hatishiwi nyau amu...maaaaan m vere high aisee....nnaeza nkakesha na wewe apa na kesho nkaenda job to make more money so i kan smoke more wen my supplier gets back to bizness....amma make a weed cake!!!!!!!!! Weed na mimi vicheche kama nyie noooo....weed makes me think better....i am...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom