Verossa

Verossa

Napita....hebu nielekezeni hoja mchanganyiko ni wapi?
 
story yangu...mezea basi......ila dont drink and drive.........unajikuta badala ya kuchukua pugu road umechukua morogoro road.........unashtuliwa na makelele asubuhi kumekucha........yale mawenge sasa!!! afu hujui ulipo!!! fuel imekwisha!!! heheheheeeeee

We mrembo upo? . . . . . . Long time not see ya!!
 
Shem nini VEROSSA....... Huku kijijini nilipo sasa maduu wakikuona na kabodaboda unabeba kiulaiiiini yaani wanaona kama unamiliki ndege vile... Yaani aibu aibu natamani niwaelimishe ila naogopa msuto na mi ni mgeni huku.
 
Bidada mbona hivyo kosa langu nini?? Bi Suu ila pole kwa kukalili mimi sinatena CELICA uliza kingine na Multiple ID yako sasa sijui utasema nini nina miliki Gari ya hela mingi tomboka kama naweza baelesee Kipaji Halisi amu,wasikutishe mimi niwako mahabuba! Smile Nivea nipo ulinzi mia!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor anajaribu kutujulisha kwamba magari yetu haya (Si Verossa tu) yana matumizi mengi. Kuna mengine yanatumika kama guest house kwa kufanya mambo ya ngono. Kuna lift zinatolewa na sugar mummies, kwa wavulana wadogo na kwa lift hizo hao wamama ndani ya Verossa wanawarubuni vijana wadogo, halikadhalika kwa ma-sugar daddy wanavyowarubuni wasichana wadogo kwa ahadi kemkem. Ni katika magari yetu humo humo zinatungwa mimba, yanazalishwa magonjwa mbalimbali ukiwemo ukimwi, frustration za maisha ikiwemo kufeli mitihani zinaanzia humo, kwa sababu wanafunzi wanasahau kusoma badala yake wanakwenda kujirusha kutumia magari hayahaya. Kwa ujumla Mentor ametukumbusha mengi yanayofanyika kwenye magari yetu likiwemo gari la Verossa. Please, observe matumizi ya gari yako.
 


Bi Suu,njoo usaini mkataba,mi ni promota wa ngumi, magna Amu yupo onfire halafu huonekani hata kwenye keyboard!!!!![/QUOTE]

Unamaanisha yupo katika hit?
 
Last edited by a moderator:
Bidada mbona hivyo kosa langu nini?? Bi Suu ila pole kwa kukalili mimi sinatena CELICA uliza kingine na Multiple ID yako sasa sijui utasema nini nina miliki Gari ya hela mingi tomboka kama naweza baelesee Kipaji Halisi amu,wasikutishe mimi niwako mahabuba! Smile Nivea nipo ulinzi mia!!
images
KakaKiiza unamiliki hii makitu kweli wewe tagiri
 
Last edited by a moderator:
inside verossa i met my husband
inside verossa i got cash
inside verossa i got a better job

inside verossa i met your papa
inside verossa he bought me a house
inside verossa we chill out
inside verossa i got pregnancy
inside verossa life turn :laugh::laugh:
OUTSIDE VEROSSA AM VERY VERY EXPENSIVE.
teh teh teh what do you think my broda nina kipaji eeeh.........mie usafiri wangu nikijitahidi daladala hiyo verossa naisikia tu....tena umenikumbusha ngoja niigoogle walau niione mtandaoni.

hahahahaha umetisha....very funny indeed
 
Ninyi wadada wa JF nini mbaya....!!
tulia mkaka kuna waliokuja mjini na chupi,skentait undersket na sketi na wengine wakaingia mujini na chupi tu na sketi yake huwezi wafananisha watu hawa kwiwkiwkwiwkwiwkwi.
 
Back
Top Bottom