cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
unamdhalilisha mke wa ujana wa yuleeeeeeeeeee! uwiiiiiii hubby ninunulie hata bajaji basi!Usipoteze muda. Twende PM nikakupe details zake. Ndo ujue ukungwi ni kwenye keyboard tu.

nimenunaaaaa ninunulie basi hata mgongo wa chura jamani! uwiiiiiiiiiiiiiiii wenye magari mpo juu! mnawabanjuaje?? shemeji, ukimuona mume wangu Asprin! nijulishe tafadhali!
unamdhalilisha mke wa ujana wa yuleeeeeeeeeee! uwiiiiiii hubby ninunulie hata bajaji basi!
bora umejongea nkamu gwangu Gwamahala isa kuno, huyu my husband alinailyojo lya nkisi
Hivi naomba mniweke sawa maana hapa sijui yupi niyupi!!ila na wewe ulibwedea! kula baba, wakijileta kanyaga twende!` he he he he! mke mwenza snowhite hebu kuja pande hii!
Afu wewe bana, kila siku unaniuzia mbuzi kibudu kwenye kiroba.... Ntayasusia haya matembezi ujue....:help:
majanga mdogo wangu! usitamani hata kuyajua! pita tu pembeni!Sielewi elewi...........!!!!!!! Kuna nini hapa!!
itapata tu kazi ikishapatikana! hujambo Mentor?
kwi kwi kwi! una balaaa weye! SIMO MIE HUKO! TENA NINA MIMBA KUBWA YA TRIPLETS YA Asprin, twalea wenetu sie!
snowhite...mwanzoni nilidhani ni verossa ila nimekuja kugundua hata bajaji has the same effect..tutajionea mengi humu!
Mentor tuheshimiane!
mke mwenzangu hawezi kuwabanjua serengeti boys!
mwambie cacico akupe Zanzi aliwahi kuniambiaga inazimua vizuri kweli!
mke mwenza do ze nidful!
Mentor ! Mentor!Hahaha kama hujui matumizi yake...wewe hata duet inakutosha!!!!
Ivi bado hujajifungua!?? Ivi ni mimba ya Asprin au ya Kaizer ??!
snowhite...mwanzoni nilidhani ni verossa ila nimekuja kugundua hata bajaji has the same effect..tutajionea mengi humu!
Chezea cacico wewe!!!! me knows her..muulize alikuwa na nani pale PSPF...
Kitu zanzi KakaKiiza, itafute. Ingawa dada gfsonwin aliniambia kiwanda kimefungwa!!!
hii mada yako Mentor imekaaa kimbeya na kimajungu sana !!!!! sikutegemea kutoka kwakoHahaha kama hujui matumizi yake...wewe hata duet inakutosha!!!!
Ivi bado hujajifungua!?? Ivi ni mimba ya Asprin au ya Kaizer ??!
snowhite...mwanzoni nilidhani ni verossa ila nimekuja kugundua hata bajaji has the same effect..tutajionea mengi humu!
Chezea cacico wewe!!!! me knows her..muulize alikuwa na nani pale PSPF...
Kitu zanzi KakaKiiza, itafute. Ingawa dada gfsonwin aliniambia kiwanda kimefungwa!!!
kukupa salamu nikiwa garini, naona ishakuwa taabu! nitaanza kukulia bati kuliko dawa iliyo-expire!Hahaha kama hujui matumizi yake...wewe hata duet inakutosha!!!!