Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,366
- 176,192
Hahahaaaa!! Kumbe unamuogopa eeeh!! Honey Faith kiboko ya RRONDO
Hahahaaaa!! Kumbe unamuogopa eeeh!! Honey Faith kiboko ya RRONDO
Uchochezi hausaidii kitu rafiki.
Hahaha najitahidi tu kukupa ushirikiano, usije ukajinyonga Kwa ajili ya upweke na rejections ulizonazo
Kujipa moyo vepeee? ?Hahahaaaaaa!! Eti penda penda, unadhani ningekuwa nimependa ningehangaika? Sitatulia hadi nitakapopenda, alafu nikipenda hata hutojua madam, utastuka tu yuleeeeeee!!
Mwambie Heaven Sent aache majungu maana sio mtaji, kwa baba yake sirudi hata kwa mtutu.
Ninaemtaka bado hajajitokeza ujue, hadi ajitokeze ndio nitatulia ila kwasasa ngoja niwafolenishe tu.
Akhaa amtafute huyo alompa nyota ya ukoko, sio mie. Na mzee wangu hana hata wazo nayeAmesema kwa babayo eti harudi, eti wewe ndo ulienda kumchumia huo mnukanuka ukaja kumwogesha nao.
Unapinga au unakubali?
Jitahidi....atakaa kwenye mstari ulionyooka.
Si unajua bado yuko 'gizani' kusaka ampendae!
Honey Faith sio wa dunia hii yule. Bi mkubwa anadhani atawagombanisha kumbe kakutana Na kisikiHoney Faith najua si mtu wa mchezo mchezo, kama hajalazwa nje...basi chini. RRONDO nawe tulia sehemu moja.
Wataka kuwa kama yule jamaa wa Keko, kaweka vi-zygote kwa wanawake 7.
Jamaa ana nguvu za Simba dume
Me nimeamua tu nijipoteleshe huku mapwepande kwa niaba yake. "Rafiki" khaaaa, kweli akutukanaye hakuchagulii tusihahahahahahahahahahhahahahaha 'friend-zone' of the highest order!
Cc: atoto, Heaven Sent, Madame B! lol...kama ni mimi najinyonga na kamba za mgomba....
Hapana ulivyo na hasira na sisi, usije ukatuwekea vitu kwenye menu tufe wote, akhuuMentor na dota naona hadi mmeloa. Haya njooni tusheherekee pamoja.
Upweke!!! Sijawahi kuexperience kabisa hilo. Haya kaoge sasa maana khaaah!! Kama mmetumwa.Hahaha najitahidi tu kukupa ushirikiano, usije ukajinyonga Kwa ajili ya upweke na rejections ulizonazo
Thubutuuuuu!! Hasira, haiwezi tokea, we najua tatizo lako so nakuacha ujifariji tu, Mentor nae acha apunguze machungu.Hapana ulivyo na hasira na sisi, usije ukatuwekea vitu kwenye menu tufe wote, akhuu
Jipe moyo utayashindaaaUpweke!!! Sijawahi kuexperience kabisa hilo. Haya kaoge sasa maana khaaah!! Kama mmetumwa.
Kulea adolescents ni shughuli, mtoto anamjibu mama yake kama mke mwenzie, duuuuh!!Jipe moyo utayashindaaa
Kuna uzi kule wazazi na malezi mnayajua kweli, uje matron
Hahaha ngoja nikajifunze wajukuu wako wasije niua kwa preshaKulea adolescents ni shughuli, mtoto anamjibu mama yake kama mke mwenzie, duuuuh!!
Hebu nenda kajifunze itakusaidia dota.
Kwakweli kama ambavyo wewe umepania kuniua, bora mie kisiki cha mpingo, wewe nitakuokota ICU kila siku.Hahaha ngoja nikajifunze wajukuu wako wasije niua kwa presha
Kwakweli kama ambavyo wewe umepania kuniua, bora mie kisiki cha mpingo, wewe nitakuokota ICU kila siku.

Bora hujanitajaUmeanza pesa umekuja mandingo....nimebarikiwa sekta zote aisee.
Ulichezea bahati kwa Mjeda yule, ukachezea bahati kwa Kipaji Halisi, Mtambuzi alitaka kukufanya nyumba ndogo sijui mke mdogo ukaringa, sasa umebaki unalilia celica!!!!
Ahsante kwa kuniita
Una hamu ya laana mkwe?Ahsante kwa kuniita
Nakupenda mkwe,Pole kwa mitoso ya hapa na pale Hahaa