Sasa chige hujui mmoja hawezi kutosheleza, inabidi mvumiliane tu ili maisha yasonge, usijali kodi ashalipa mwenzio.
Nilivyo mtulivu hadi najionea wivu ujue, mpo wa5 tu, siongezi mwingine tenaaa, kweli tena.Alah! Kumbe kapewa cha mbavu ndo maana wampigie debe kwangu! Mwambie aje hapa aseme kwanza nini kinamfanya asitulie! Aidha, aje na mkataba kabisa kuonesha keshalipa kodi ya nyumba!
Amesema kwa babayo eti harudi, eti wewe ndo ulienda kumchumia huo mnukanuka ukaja kumwogesha nao.Haha yeye penda penda while kaoshewa mnuka mnuka. Kazi ninayo
Honey Faith najua si mtu wa mchezo mchezo, kama hajalazwa nje...basi chini. RRONDO nawe tulia sehemu moja.RRONDO kumbe aliikuwa anataka kuongeza koloni. Jana kalazwa nje na Honey Faith..sijajua kama keshasamehewa au yu single
Honey Faith najua si mtu wa mchezo mchezo, kama hajalazwa nje...basi chini.@RRONDO nawe tulia sehemu moja.RRONDO kumbe aliikuwa anataka kuongeza koloni. Jana kalazwa nje na Honey Faith..sijajua kama keshasamehewa au yu single
Alafu madame humu unafanya nini? Si una deal na mgirik wewe?Amesema kwa babayo eti harudi, eti wewe ndo ulienda kumchumia huo mnukanuka ukaja kumwogesha nao.
Unapinga au unakubali?
Jitahidi....atakaa kwenye mstari ulionyooka.
Si unajua bado yuko 'gizani' kusaka ampendae!
Angalia usije pata koroma mdogo wanguNinaemtaka bado hajajitokeza ujue, hadi ajitokeze ndio nitatulia ila kwasasa ngoja niwafolenishe tu.
Ngoja nimtafute mtu aje na Iphone 7....Hahahaaaaaa!! Eti penda penda, unadhani ningekuwa nimependa ningehangaika? Sitatulia hadi nitakapopenda, alafu nikipenda hata hutojua madam, utastuka tu yuleeeeeee!!
Mwambie Heaven Sent aache majungu maana sio mtaji, kwa baba yake sirudi hata kwa mtutu.
RRONDO kishayazoea hayo hata usimshauri. Kashazoea kufolenishwa.Honey Faith najua si mtu wa mchezo mchezo, kama hajalazwa nje...basi chini. RRONDO nawe tulia sehemu moja.
Wataka kuwa kama yule jamaa wa Keko, kaweka vi-zygote kwa wanawake 7.
Jamaa ana nguvu za Simba dume
Makoroma si ndio haya sasa unataka niyapate mara ngapi?Angalia usije pata koroma mdogo wangu
Ngoja nimtafute mtu aje na Iphone 7....
Nicky Minaji kasema akija mtu na 7 yake, atamuacha Meek wake.
Hahahahha....... ngoja tujichange
Nitasubiri mwaka mzima mpaka utakumbuka.Makoroma si ndio haya sasa unataka niyapate mara ngapi?
Unadhani hata nahitaji iphone 7?? Walaaaaa, ninalolitaka nikilipata takuambia.
Uje nae wapi?Tena umenikumbusha, ngoja nikajipikilishe.
Baadae nakuja na Mgirik wako.
Mwaka tu!!! Be patient.Nitasubiri mwaka mzima mpaka utakumbuka.
Ahadi ni deni.
Huu sio uchochezi mwalimu wangu, i like that 'rafiki'.Uchochezi hausaidii kitu rafiki.