Sio kwamba nakuonea wivu umeoa, au namuonea wivu huyo 'mkeo mtarajiwa', la hasha!!!
Wapo wengi walioahidiwa kuolewa na huyo 'mkeo' na wakaangukia pua.
Ila kaa ukijua 'mkeo' huyo anapenda sana pesa, ukiwa huna pesa, utachezea vitasa tu.
Kuna mwenzio 'mtaa wa pili' hajapona alama za vidole mashavuni mpaka leo.
Haya, we okota tu dodo lako chini ya mfenesi.
Afu ukumbuke na ukubali mitara kwa huyo partner wa wizarabya elimu.
....sio wivu, usije sema sijakwambia.
Evelyn Salt mie sikuonei donge ujue.
Hahahahhaha.....Verossa na Celica