Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,414
Shine bright like a diamondWacha we!
Shine bright like a diamondWacha we!
Mambo ya aibu haya khaa. Me baba angu wa pekee ni Kaboom tuunajua nashindwa kuleta mahari vile mtoto hana baba wa kueleweka sasa
Hehe the queen herself, me sio wa mchezo mchezoHahahaaaa!! Unatafuta visingizio eti?
Am not yo problem kid.
HS ana baba mmoja tu na haitotokea awe na baba mwingine, Kaboom is the only dad, the best dad she'll ever have.
So put yo self together and be a man she wants you to be, lasivyo yo'll lose her. Si unajua she never loses people but people lose her.
Kumbe utakuja na gari eeh?Hahah..and your the best mother she'll ever have-I cant loose her!
Sio desturi kuongelea masuala ya familia hadharani ila naanzaje kuja wakati ukweni huko kuna harufu ya mgogoro?
labda yamalizeni kwanza mimi
nipo tayari kupark nje ya nyumba yako muda wowote kukiwa shwari!
Achukue jiko asisahau na mkaaMkwe bwana, hebu acha visingizio, sie kwetu kupo shwari kabisa, achana na hizi mambo jambo dramas.
We changamka chukua jiko hilo kabla hujaja kunililia.

Ole wake aje na kimkweche na hizo mbwembwe zakeNimekuelewa mkwe!!
mwisho nyumbani hapo kuna parking au mpaka mtaa wa saba?!..na vipi usalama?
Jamani hiki kitoto!! Hebu muulize mkeo mtarajiwa atakujibu hilo swali, changamka.
Me siongei neno. .Bae HS, kuna mambo
nilikua namkamilishia
mwaka hauishi sasa
Hahahaaaaa!! Dota nimekuelewa hapa vizuri sana.Kumbe utakuja na gari eeh?
Achukue jiko asisahau na mkaa![]()
![]()
![]()
We muache, anaulizia pa kupaki msafara sijui ya magari ya marafiki, nitamtoa baru, ole wake aje na gari hewa.Ole wake aje na kimkweche na hizo mbwembwe zake
Me siongei neno. .
Hao siwatambui mimi,
Haha muache tu alete sifa hapa, afu kumbe gari lake ni TZ 11Hahahaaaaa!! Dota nimekuelewa hapa vizuri sana.
We muache, anaulizia pa kupaki msafara sijui ya magari ya marafiki, nitamtoa baru, ole wake aje na gari hewa.
Atleast unamfichia siri mama yakoHao siwatambui mimi,
Hamna siwajui kweliAtleast unamfichia siri mama yako
Hapo ndio huwa naamini ule msemo wa damu nzito......Hamna siwajui kweli
Bora umenisaidia kuuliza
Hahahaaaaa!! Dota nimekuelewa hapa vizuri sana.
We muache, anaulizia pa kupaki msafara sijui ya magari ya marafiki, nitamtoa baru, ole wake aje na gari hewa.
ChinekemeeeeeeeeeeeeeBae I miss you![]()
nauliza mapema tu huko kwenu
nisije kupark nikakuta
power window na taa za magari zimebebwa!
Ya chumbani sana haya bae!Me siongei neno. .
atoto umeniuaaaaaaaa. Wapendwa njooni mnisaidie, sina hamu mieYa chumbani sana haya bae!