Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Na utalia kweli, kuna dada alikuwaga analia ila mwisho akazoea. Ukija unalia nakuitia Frank.Hahaha hamna wanafunzi manunda, maana nahisi ntakuwa naishia kulia tu
Na utalia kweli, kuna dada alikuwaga analia ila mwisho akazoea. Ukija unalia nakuitia Frank.Hahaha hamna wanafunzi manunda, maana nahisi ntakuwa naishia kulia tu
Haha nisije nikafa kwa presha aiseeNa utalia kweli, kuna dada alikuwaga analia ila mwisho akazoea. Ukija unalia nakuitia Frank.
Hahaa! Unazoea tu, mwanzo nilitamani kuacha kabisa.Haha nisije nikafa kwa presha aisee
Haha na ununda wako wote ulitaka kusurrender,Hahaa! Unazoea tu, mwanzo nilitamani kuacha kabisa.
Yaani acha kabisa, unatamani kulia unajiuliza sasa nalia nini! Na watoto wajanja wanakusoma, ukizubaa haki utalia.Haha na ununda wako wote ulitaka kusurrender,
Unataka mke au mwalimu wa hesabu?
Haya, kila lenye heri.Ngoja nikuambie kitu:
Unasikiaga watu wakisema vigezo vya mtu wamtakaye? Mara tall-dark and handsome for the ladies AU chocolate-figure8-chura for the men.
Huwa kuna vile vigezo ambavyo huvitamki hadharani lakini kiukweli vinachangia sana kuvutiwa na mtu fulani au la (huwa aziita silly-unspoken-criteria).
Kigezo changu kimojawapo ni kumpata binti 'asiyechukia hesabu'. Sio mwanamke anawaambia watoto, "Hesabu! huo ni ugonjwa wa taifa wanangu." "Ah! Hesabu? hapo umejitahidi sana kwani unataka kuvumbua nini Junior wangu?" na vimaneno kama hivyo.
Simaanishi an A person lakini naamini mwanamke mwenye appreciation ya hilo somo ana something different.
Naomba kuwasilisha!!!!
Haha umesahau kuwa nilipiga EGM, kwa hapo nishapita, tusubiri tu vigezo vingineHaya, kila lenye heri.
Hivi dota Heaven Sent we si uko njema kwenye hesabu? Njoo uchangamkie fursa huku.
. Nimekumbuka nina rafiki angu, kigezo chake cha kwanza mke awe anapiga hesabu fresh, sio mtoto anakuja kuwa na maths proof kichwani, digits zinagoma kuingia eti lolHiyo comment ndo unaiona sasa hivi au upashkuna
Haha umesahau kuwa nilipiga EGM, kwa hapo nishapita, tusubiri tu vigezo vingine![]()
. Nimekumbuka nina rafiki angu, kigezo chake cha kwanza mke awe anapiga hesabu fresh, sio mtoto anakuja kuwawa na maths proof kichwani, digits zinagoma kuingia eti lol
Sazile akili ilikuwa inawawaza wanafunzi wangu tu waliodundana ngumi nusu watoboane macho. Sasa hivi ndio nimemkumbuka mkwe wangu, hivi yuko wapi? Nimemmisimo.Hiyo comment ndo unaiona sasa hivi au upashkuna
Hahahaaaaaa!! Alafu utashangaa anakuja kuoa ambae hata sayansi kilimo inayumba, ndio hapo ataamini kuwa hata kunguru nae ni ndege ila habebi abiria.Haha umesahau kuwa nilipiga EGM, kwa hapo nishapita, tusubiri tu vigezo vingine![]()
. Nimekumbuka nina rafiki angu, kigezo chake cha kwanza mke awe anapiga hesabu fresh, sio mtoto anakuja kuwa na maths proof kichwani, digits zinagoma kuingia eti lol
I understand you ho. Afu huwezi amini nimefika tu form 5, nikaambiwa niandae speech, and niliongelea suala la wanafunzi kuchukulia hesabu kama somo lililoshindikana. Na wazazi nao honestly wana part yao kwenye kuwavunja mioyo watoto Na hesabu, mzazi ndo anakwambia aaah me hesabu hapana tu, ilinishinda. Mtoto naye anajijengea kuwa hili ni somo la kufail tu, hatoweka tena efforts kwenye hilo somo, kumbe walaaa. Basi I'm grateful maana naamini watoto Wangu hawataziogopa digits kama ambavyo mama yao sikuziogopa, (ingawa kuna topics nilizitenga mapemaaa kuwa sitohangaika kuzisoma na kwenye paper sitozichagua lol, yani niliamua tu kutozielewa mapemaaIt's very true na hasa kwenye kuchagua mwanamke.
Unajua mama ndio mwalimu wa kwanza wa mtoto. Now, I don't mean awe ameenda shule sanaaa, au sijui alipiga PCM au PMM (hii kwa sisi wa zamani ndo tunaijua). Lakini mwanamke mwenye appreciation ya knowledge. Vipimo vitatofautiana ila mimi kwangu kipimo ndo kinakuwa hicho: hesabu. Anaichukuliaje hesabu? ugonjwa au a game of numbers?
And that will extend kwenye kila kitu kwenye maisha ya mtoto...mama anaweza kumfanya mtoto apende somo flani au la! Mama ana nafasi kubwa sana ya ku-shape future ya mwanaye kama akiwa na positive mind towards education and knowledge in general.
Ukisoma vitabu vya Ben Carson (MD) utaelewa vyema nikisemacho. Mama yao hakuwa ameenda shule ila kwa kuwa alikuwa na appreciation ya knowledge, she pushed them to be better men and educated men. That is the power of the mother..usikae ukajidharau kabisa na kamwe usiruhusu negative perceptions zako zikamuingia mtoto wako.
Hata mimi kuna masomo sikuwa nayapenda tu...ila kamwe sitokaa nimwambie mwanangu au nijisifu barabarani kwa watu kuwa dah aisee mimi na hesabu? mtu na mkwe wake kabisa..I will never do that.
)Kisa ndoa yako imebuma, unataka na yangu ibume eehSazile akili ilikuwa inawawaza wanafunzi wangu tu waliodundana ngumi nusu watoboane macho. Sasa hivi ndio nimemkumbuka mkwe wangu, hivi yuko wapi? Nimemmisimo.
Haha hesabu kwake si ni kama bonus bana au? . Khaaa eti kunguru naye ni ndege ila habebi abiria mweeeHahahaaaaaa!! Alafu utashangaa anakuja kuoa ambae hata sayansi kilimo inayumba, ndio hapo ataamini kuwa hata kunguru nae ni ndege ila habebi abiria.
Ben C, daaaaah!!!It's very true na hasa kwenye kuchagua mwanamke.
Unajua mama ndio mwalimu wa kwanza wa mtoto. Now, I don't mean awe ameenda shule sanaaa, au sijui alipiga PCM au PMM (hii kwa sisi wa zamani ndo tunaijua). Lakini mwanamke mwenye appreciation ya knowledge. Vipimo vitatofautiana ila mimi kwangu kipimo ndo kinakuwa hicho: hesabu. Anaichukuliaje hesabu? ugonjwa au a game of numbers?
And that will extend kwenye kila kitu kwenye maisha ya mtoto...mama anaweza kumfanya mtoto apende somo flani au la! Mama ana nafasi kubwa sana ya ku-shape future ya mwanaye kama akiwa na positive mind towards education and knowledge in general.
Ukisoma vitabu vya Ben Carson (MD) utaelewa vyema nikisemacho. Mama yao hakuwa ameenda shule ila kwa kuwa alikuwa na appreciation ya knowledge, she pushed them to be better men and educated men. That is the power of the mother..usikae ukajidharau kabisa na kamwe usiruhusu negative perceptions zako zikamuingia mtoto wako.
Hata mimi kuna masomo sikuwa nayapenda tu...ila kamwe sitokaa nimwambie mwanangu au nijisifu barabarani kwa watu kuwa dah aisee mimi na hesabu? mtu na mkwe wake kabisa..I will never do that.
Mje mtusaidie kuongea na watoto huku maana duuuh!! Kuna huyo mtoto alinifuata tukaongea sana then akaanza kulia(sifundishi kidato chao na kwa bahati mbaya sikuwahi kuwafundisha), nikamuuliza why are you crying? Akaniambia 'Madam kwanini hukuniambia mapema hiki unachoniambia leo?'I understand you ho. Afu huwezi amini nimefika tu form 5, nikaambiwa niandae speech, and niliongelea suala la wanafunzi kuchukulia hesabu kama somo lililoshindikana. Na wazazi nao honestly wana part yao kwenye kuwavunja mioyo watoto Na hesabu, mzazi ndo anakwambia aaah me hesabu hapana tu, ilinishinda. Mtoto naye anajijengea kuwa hili ni somo la kufail tu, hatoweka tena efforts kwenye hilo somo, kumbe walaaa. Basi I'm grateful maana naamini watoto Wangu hawataziogopa digits kama ambavyo mama yao sikuziogopa, (ingawa kuna topics nilizitenga mapemaaa kuwa sitohangaika kuzisoma na kwenye paper sitozichagua lol, yani niliamua tu kutozielewa mapemaa![]()
)