Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
andaa mazagazaga hayo!mwakani desemba utaenda!!Oooh hayo ndio maneno sasa. Ngoja nijiandae kabisa.

andaa mazagazaga hayo!mwakani desemba utaenda!!Oooh hayo ndio maneno sasa. Ngoja nijiandae kabisa.

![]()
![]()
![]()
huyo mwalimu alikua jipu uchunguu
salamu gani sasa hiyoo...!!
...alafu uzuri wake ni somo linaloambatana na vitendo.
Hahahaaaaa!!! Umenikumbusha mwalimu wangu wa kiswahili drs la3, mkurya yule alitutandika siku moja, alituambia tutamke 'feza' basi nasi tunatamka 'feza' akarudia 'sema feza si feza' hapo ndio ikawa lugha gongana, tukarudia tena 'feza' weeeh tulikula stiki, kumbe lengo lake tuseme 'fedha'
Sijuii ila ilisaidia tukaanza kukremu miji mikuuu ili tusimuudhi! Tulikuwa tunampenda..mdada mwenyewe...mrefu hivi mwembamba...
Hahah!
Hahahahaha dah umenikumbusha stori ya Danny!
Danny alikuwa na makengeza, sio saaana, ila ili aone mbele vyema ilimlazimu akae upande kidogo!
Sasa kuna siku mwalimu wa hesabu alikuwa darasani na kulikuwa na kelele kidogo. Mwalimu alipogeuka akamuona Danny amekaa upande akajua yeye ndo anapiga kelele hivyo akamtaka angalie mbele. Danny akabaki vilevile -kiupande- maana akiwa hivyo ndo anaona mebel kiusahihi.
Mwalimu: "Danny, look at me!"
Danny: "Am looking at you sir"
Mwalimu: "Danny am not joking...look at me!"
Danny hana cha kufanya maana vile alivyokaa ndo anamwona mwalimu...huku sisi tunacheka balaa...mwalimu akakasirika kabisa akamwambia, "Danny! for the last time...look at me!"
Maskini Danny ikabidi akae wima kwenye dawati..shida ikawa akikaa vile anaona nje badala ya ubaoni...dah tulicheka sana ile siku...ilibidi baada ya kipindi waende na monitor kwa mwalimu kumuelezea.!
atlas zile!!Hapana.![]()
![]()
kwani mbali?
Kaaah!desemba mbali?!!Hapana.
Duuuh!!!Sijuii ila ilisaidia tukaanza kukremu miji mikuuu ili tusimuudhi! Tulikuwa tunampenda..mdada mwenyewe...mrefu hivi mwembamba...
Hahah!
Hahahahaha dah umenikumbusha stori ya Danny!
Danny alikuwa na makengeza, sio saaana, ila ili aone mbele vyema ilimlazimu akae upande kidogo!
Sasa kuna siku mwalimu wa hesabu alikuwa darasani na kulikuwa na kelele kidogo. Mwalimu alipogeuka akamuona Danny amekaa upande akajua yeye ndo anapiga kelele hivyo akamtaka angalie mbele. Danny akabaki vilevile -kiupande- maana akiwa hivyo ndo anaona mebel kiusahihi.
Mwalimu: "Danny, look at me!"
Danny: "Am looking at you sir"
Mwalimu: "Danny am not joking...look at me!"
Danny hana cha kufanya maana vile alivyokaa ndo anamwona mwalimu...huku sisi tunacheka balaa...mwalimu akakasirika kabisa akamwambia, "Danny! for the last time...look at me!"
Maskini Danny ikabidi akae wima kwenye dawati..shida ikawa akikaa vile anaona nje badala ya ubaoni...dah tulicheka sana ile siku...ilibidi baada ya kipindi waende na monitor kwa mwalimu kumuelezea.!
Hapana, sio mbali.Kaaah!desemba mbali?!!
ualimu witoo!!tafadhali
Marahabaaaaa!!! Ingekuwa inawezekana kuwafrank wazazi haki unampa kofi moja takatifu hadi network isome 4g, then mnawekana sawa.
Evelyn Salt ukiacha bangi, pombe, sigara, uasherati, ushirikina, uzinzi na waume za watu utakuwa mke mwema sana...
Wotinti yu?
You wotint