Verossa

Verossa

I understand you ho. Afu huwezi amini nimefika tu form 5, nikaambiwa niandae speech, and niliongelea suala la wanafunzi kuchukulia hesabu kama somo lililoshindikana. Na wazazi nao honestly wana part yao kwenye kuwavunja mioyo watoto Na hesabu, mzazi ndo anakwambia aaah me hesabu hapana tu, ilinishinda. Mtoto naye anajijengea kuwa hili ni somo la kufail tu, hatoweka tena efforts kwenye hilo somo, kumbe walaaa. Basi I'm grateful maana naamini watoto Wangu hawataziogopa digits kama ambavyo mama yao sikuziogopa, (ingawa kuna topics nilizitenga mapemaaa kuwa sitohangaika kuzisoma na kwenye paper sitozichagua lol, yani niliamua tu kutozielewa mapemaa )

Hahaha...kama tulikuwaga pamoja...mimi probability ni mojawapo ya topic niliyoamuaga kuiacha kabisa...kote o level na a level nikajichagulia topic zangu na maisha yakasonga...

Ben C, daaaaah!!!

Ben C ndo nani??!!!

Ila atoto wewe niseme tu ila ukweli wazazi (na HASA mama) wanachangia sana academic prosperity ya mtoto. Na sio lazima mzazi awe ameenda shule...hata kama hujui kusoma na kuandika lakini maneno yako yawe ya kumhimiza na kumtia moyo kutaka kujifunza zaidi. Usimwekee bias zozote, mwache awe free ku-explore. Akienda shule akakutana na watoto ambao wazazi wao wamewafundisha kuwa Hesabu ni ugonjwa wa taifa na masomo ya sayansi (mfano) ni kansa..akirudi nyumbani ni jukumu lako kuiondoa sumu hiyo akilini mwake.

Sasa wewe ukitoka kazini umbeya kwenye vikoba, baba mtu bar..halafu manatarajia mwanenu awe kipanga kisa nyie mlikuwaga vipanga...haiendagi hivyo!
 
Haha me o-level ilikuwa circle and sphere. A-level ni coordinate geometry 2, yani hapana kabisa.

Yani wazazi mambo ya shule tumewatupia walimu mazima. As if jukumu la mzazi ni kulipa tu ada mweeh. Ni watoto wachache wenye ufahamu wa kujiongeza wenyewe na mambo ya shule bila support ya mzazi, wengi wanaishia tu kucheza. Mzazi lazima ushughulike na maendeleo ya wanao eti
 
Hivi hili shairi hamuwezi kuliingiza kwenye mitaala ya shule?

Cc: walimu wote gfsonwin, snowhite, Evelyn Salt atoto, geniveros, et al et al...

Kipindi hicho nilikuwa nimeumia kweli kweli...nilimpenda sana huyu binti, halafu akachukuliwa kirahisi tu na jamaa tena bila hata kutongozwa wala nini! dah those days...the future Mrs. Mentor!!!

Cc: Shark
hahaaaa!!pole sana km huna pesa demu mzuri anabaki kua shemej tu
 
Aaah kuna wazazi wanajitambua acha kabisa, kuna mzazi mmoja huyo ana watoto wa4 hapa shuleni, yaani kdt cha 1 hadi 4, hawa watoto wanaongoza kwa vidato vyote, wana nidhamu na wanajituma kweli, ila mumewe alimkimbia akaenda kuoa mwanamke mwingine, na alikimbia na mtoto wa kiume wa kwanza(aliishia form 2)

Nilitamani kujua zaidi ni kwa namna gani anawalea wale wanae, aisee hadi raha.

Hebu siku mzazi akija umuulize anawaleaje wanae na sisi tupate cha kujifunza. Au uwaulize hao watoto wenyewe wakueleze si wakubwa?

Unajua hii kitu ya Mentor iligombanisha watu wizarani?
Ila jamani, mie mwenzenu sijui nataka nini aisee.

Madame B wewe Kipaji Halisi si na mahari alitaka kutoa ukakimbia!?? Kweli hata mimi sijui unataka nini!

Hahahah Unakumbuka ule mfano wa jamaa aliyewagaia wanawake wake watatu 500,000/- halafu akawapima wataifanyia nini mwishowe akaja kumuoa mwenye chura...ni sawa na wewe, nahisi huwa unaangaliaga mandingo ndo kigezo chako, and the more you look the more you keep looking!

Ila kama ukiacha kuchagua chagua... RRONDO atakufaa sana!

Hii ni true story
Mdogo wangu Mentor sio mtu wa mchezomchezo ujue.
Analipua tu watu

Hahaha usitake kunigombanisha na watu bana. Kuna mtu aliniambia, "Ujue wewe dogo umefanya mpaka nikauza celica yangu!" Dah....

hahaaaa!!pole sana km huna pesa demu mzuri anabaki kua shemej tu

Mh! hayo si maneno ya mwalimu...wewe mwalimu ya book keeping nini?

Nishapata hela ndo maana unaona spidi ya kutafuta mke inaongezeka!!!

Evelyn Salt ukiacha bangi, pombe, sigara, uasherati, ushirikina, uzinzi na waume za watu utakuwa mke mwema sana...
 
Hahaha...kama tulikuwaga pamoja...mimi probability ni mojawapo ya topic niliyoamuaga kuiacha kabisa...kote o level na a level nikajichagulia topic zangu na maisha yakasonga...

Ben C ndo nani??!!!

Ila atoto wewe niseme tu ila ukweli wazazi (na HASA mama) wanachangia sana academic prosperity ya mtoto. Na sio lazima mzazi awe ameenda shule...hata kama hujui kusoma na kuandika lakini maneno yako yawe ya kumhimiza na kumtia moyo kutaka kujifunza zaidi. Usimwekee bias zozote, mwache awe free ku-explore. Akienda shule akakutana na watoto ambao wazazi wao wamewafundisha kuwa Hesabu ni ugonjwa wa taifa na masomo ya sayansi (mfano) ni kansa..akirudi nyumbani ni jukumu lako kuiondoa sumu hiyo akilini mwake.

Sasa wewe ukitoka kazini umbeya kwenye vikoba, baba mtu bar..halafu manatarajia mwanenu awe kipanga kisa nyie mlikuwaga vipanga...haiendagi hivyo!
Tell them, mie sipo huko, nalitambua sana hilo na naitumia sana kwa wanangu na wanafunzi wangu, we hushangai kila mzazi alikuwaga namba moja darasani, hata kama alikuwa kimeo ila anakomaa tu, na watoto wanaamini baba/mama sio wa mchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom