Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Hivi yangu ndio ishabuma hivyooo!!!Kisa ndoa yako imebuma, unataka na yangu ibume eeh
Basi ngoja now nibakie na hii ndoa moja tu, sitaki tena, nshachoka.
Hivi yangu ndio ishabuma hivyooo!!!Kisa ndoa yako imebuma, unataka na yangu ibume eeh
Yaani haya mambo we acha tu, kaka yangu tunamtaniaga anaishia kututimua tusimpigie kelele.Haha hesabu kwake si ni kama bonus bana au? . Khaaa eti kunguru naye ni ndege ila habebi abiria mweee
Unaona sasa, wazazi hawafatilii wala kuwatia moyo watoto kuwa they can do it. Na wazazi wengine, muda wa homework wanajificha kabisa. Kazi kweli kweliMje mtusaidie kuongea na watoto huku maana duuuh!! Kuna huyo mtoto alinifuata tukaongea sana then akaanza kulia(sifundishi kidato chao na kwa bahati mbaya sikuwahi kuwafundisha), nikamuuliza why are you crying? Akaniambia 'Madam kwanini hukuniambia mapema hiki unachoniambia leo?'
Nikabaki nikishangaa tu! Ila wazazi sio siri wanachangia mnooo kuharibu future za watoto wao.
Hiyo moja ndo ipi?Hivi yangu ndio ishabuma hivyooo!!!
Basi ngoja now nibakie na hii ndoa moja tu, sitaki tena, nshachoka.
Muacheni bana khaaYaani haya mambo we acha tu, kaka yangu tunamtaniaga anaishia kututimua tusimpigie kelele.
Sasa atamsaidia nini mtoto kwenye homework ikiwa yeye hajui? Utasikia tu 'hivi hao walimu wenu wana kazi gani huko shuleni?'Unaona sasa, wazazi hawafatilii wala kuwatia moyo watoto kuwa they can do it. Na wazazi wengine, muda wa homework wanajificha kabisa. Kazi kweli kweli
Ha ha nacheka kama mazuri. Ila kweli atasaidiaje kitu asichokijuaSasa atamsaidia nini mtoto kwenye homework ikiwa yeye hajui? Utasikia tu 'hivi hao walimu wenu wana kazi gani huko shuleni?'
Si hii.Hiyo moja ndo ipi?
We hatumuachi maananae kwa kututania nae hajambo, so ni zamu kwa zamu.Muacheni bana khaa
Unakuta unamuelekeza mzazi hata namna ya kumsaidia mwanae ila bado anaona kama unampa kazi isio yake!!Ha ha nacheka kama mazuri. Ila kweli atasaidiaje kitu asichokijua
Ipi hiyo?Si hii.
We hatumuachi maananae kwa kututania nae hajambo, so ni zamu kwa zamu.
Haha shikamoo mwalimuUnakuta unamuelekeza mzazi hata namna ya kumsaidia mwanae ila bado anaona kama unampa kazi isio yake!!
Au akiamua kukuchosha utasikia 'mwl si ungekaa tu na huyu mwanangu umsaidie' unaona hapa ni lugha gongana tu.
Alishaniambia ananisubiri kwa hamuuu na nijiandae tu, nikamwambia siku ya utambulisho nitamlewesha asinzie aamke kesho yake.Ipi hiyo?
Haha subiri na wewe ukiolewa sasa
Marahabaaaaa!!! Ingekuwa inawezekana kuwafrank wazazi haki unampa kofi moja takatifu hadi network isome 4g, then mnawekana sawa.Haha shikamoo mwalimu
Haha jiandae tu, kwani hatomuona milele?Alishaniambia ananisubiri kwa hamuuu na nijiandae tu, nikamwambia siku ya utambulisho nitamlewesha asinzie aamke kesho yake.
Marahabaaaaa!!! Ingekuwa inawezekana kuwafrank wazazi haki unampa kofi moja takatifu hadi network isome 4g, then mnawekana sawa.
. Tusaidieni tuHahahaaaa!! Tunahama nchi na namba tunabadili.Haha jiandae tu, kwani hatomuona milele?
Hahahaaaaaa!!! Tena kazi sio kidogo, tena mwalimu wa nidhamu na Matron, yu kanti mi mai dia.
Nilikuwa na mpango wa kuoa mwalimu ila mifano yenu nimebadili mawazo....🙁🙁🙁🙁Hahahaaaaaa!!! Tena kazi sio kidogo, tena mwalimu wa nidhamu na Matron, yu kanti mi mai dia.
Aaah kuna wazazi wanajitambua acha kabisa, kuna mzazi mmoja huyo ana watoto wa4 hapa shuleni, yaani kdt cha 1 hadi 4, hawa watoto wanaongoza kwa vidato vyote, wana nidhamu na wanajituma kweli, ila mumewe alimkimbia akaenda kuoa mwanamke mwingine, na alikimbia na mtoto wa kiume wa kwanza(aliishia form 2)![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
. Tusaidieni tu