Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kudos to that momma. Ukiwa na mzazi anayejitambua, inasaidia sana mtoto kujitambua pia. Siku moja jaribu kumuuliza. Huyo mume nisimuongelee tu maana nishafura hapaAaah kuna wazazi wanajitambua acha kabisa, kuna mzazi mmoja huyo ana watoto wa4 hapa shuleni, yaani kdt cha 1 hadi 4, hawa watoto wanaongoza kwa vidato vyote, wana nidhamu na wanajituma kweli, ila mumewe alimkimbia akaenda kuoa mwanamke mwingine, na alikimbia na mtoto wa kiume wa kwanza(aliishia form 2)
Nilitamani kujua zaidi ni kwa namna gani anawalea wale wanae, aisee hadi raha.