Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Imekuwaje umerudi huku?
ebu nambie upo sredi gani nije aisee......
Miee nipo nabarizi tu, twende kkwenye kusugua miguu labda.
aya si nimeona Mrembo by Nature kawachokoza tena? Nakuja na jiwe langi, nikusugue.
ohooo..yamekuwa hayo tena
aya si nimeona Mrembo by Nature kawachokoza tena? Nakuja na jiwe langi, nikusugue.
hahaa wengine tumekulia kwenye magari verossa hazituchanganyi,,,,,,,,,
ila hum ndani kuna mengi sana
ume unakuja na id yako ya ukweeeee
nakumbuka kuna siku kwenye thread ya @
Kakakiiza alibwatukiwa na Zahra White ukaja kushadadia na id hii mie nikajua utajileta siku moja tuuu
nyooooo kinakuuma eeee kama wewe mbaya mbayaaaaa tu unawatongoza wenyewe wanakubwaga kucha kubadilisha id id uso na haya wewe
he he he he he jitambue mtoto wa kike anatongozwa siyo kujitongozesha na kuwaambia we will talk about tigo
nyooooo natamani nikupe nyota yangu ya kupendwa na wanaume at least upate wa kumsimulia
he he he kama wewe cheapest car ilikukufanya ukajipendekeza pole sanaaaa uzuri wanaume wanakuelewa mtu wa aina gani
id wakiimerge utaumbuuukajeeeee na soon wataimerge nitakuwekea list ya mabwana zako waliokukula na uliowataka wakakupiga chini
ilikuuuma eeeeee
mpaka ukampm El Magnifico kwa kufikiri na wewe utapewa passwords za atms teh teh teh
usifanye mchezo na mwanamke mwenye utamu
yaani leo nilivokaaa kimagomeni magomeni
wenzako tunaongelea airforce one wewe unazungumzia sijui kijigari gani
pole sana wewe kwa kuja mjini na ticket ya bus enzi zao stendi ipo kisutu
kibibi unayejidai kwenda sambamba na kina amu
Hakika ilikuwa mchana, ukawa usiku! Verossa ikanunuliwa! Morning Mentor!
tulia mkaka kuna waliokuja mjini na chupi,skentait undersket na sketi na wengine wakaingia mujini na chupi tu na sketi yake huwezi wafananisha watu hawa kwiwkiwkwiwkwiwkwi.
Mentor tuheshimiane ujue mi nakuonaga kama catalyst fulani tuheshimiane kufunua midono wengine sekunde tu na hiko kijeba chako kinachokufata kigamboniii kiambieeee kikuambieeee meeeeengiiiii
kuja kwa PM unipe hii habari vizuri na mimi niweze kuisoma...........
Morning dada cacico,
babu mumeo Asprin na shem Kaizer wananikimbizia ndege wangu mwallu.
In other news unawaona wachokozi wanafufua maiti zilizokwisha kulala??? christine ibrahim NA Heaven on earth!????
Hahahaa haaaa uwiii nimecheka
lol nilikuwa cjawahi kusoma huu uzi na ckutaka ku coment ila mmmh
Morning dada cacico,
babu mumeo Asprin na shem Kaizer wananikimbizia ndege wangu mwallu.
In other news unawaona wachokozi wanafufua maiti zilizokwisha kulala??? christine ibrahim NA Heaven on earth!????