bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
kuna uhusiano kwa kweli sijui kwa nn wadada wana special affection na verossa.... nilikua kwenye gari na mtu wangu gafla akaniuliza kuna gari zinaitwa verossa vp huzipendi well nikachukulia ni swali tu la kawaida nikamwambia siyapendi infact siyapend kwan napenda sports car ila kila siku zinavyoenda na wadada wanavyoyapenda hayo ma verossa naanza kupata picha wana special affection nayo!!