Verossa

Verossa

Kumbe una roho mbaya kiasi hichi hata kunitonya kwamba thread imerudishwa? haya bana hamna shida!

hehehehehehe....hebu sema kwanza ulichoipendea ni nini?
Mentor come zis way
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza ukome kuniita dogo...kwa experience zangu nahisi twalingana umri. btw nowadayz unatumia usafir gani...
Asprin, shikamoo babu mshikwa sharubu...

shem Kaizer, dada zangu wazima lakini? au kazi yako kumimbisha wake wa homu boiz wako!???

Kijana wangu Mentor leo nimeamkia kwa AshaDii hajambo kabisa......ukiona ivo ujue mi ndo kidume.....nini magari.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
madogo yana nafuu!!! Mentor msalimie msomali, kesho ibadani tafadhali usikose maupako!
Over n out!!!
 
Last edited by a moderator:
madogo yana nafuu!!! Mentor msalimie msomali, kesho ibadani tafadhali usikose maupako!
Over n out!!!

Msomali kang'angania na boxer yangu hataki kurudisha...sijui haikauki tu!!!!!

Wilco..out!
 
Msomali kang'angania na boxer yangu hataki kurudisha...sijui haikauki tu!!!!!

Wilco..out!

hahahahaaaa........nimecheka kwa nguvu uuuuwi!!!
halafu na lile shati unajua mama gesi akilivaa anasifiwajee.....halirudi lile! utaniambia!
 
hahahahaaaa........nimecheka kwa nguvu uuuuwi!!!
halafu na lile shati unajua mama gesi akilivaa anasifiwajee.....halirudi lile! utaniambia!

Bei yake wanamtwara wataiweza lakini!?? la sivyo alilipie tu mwenyewe in kind!

Halafu ile dinner si itapoa...tarehe ndo zinasonga ujue!!!!
 
Bei yake wanamtwara wataiweza lakini!?? la sivyo alilipie tu mwenyewe in kind!

Halafu ile dinner si itapoa...tarehe ndo zinasonga ujue!!!!

unaniudhi coz umelala nayo tu huko unafikiri inajipika?!?!!?
this sunday sawa? hopefully dr levy iwont be there?
 
Back
Top Bottom