Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
mmmh jamani....jua kali nduguHapa naanza kushawawishika kuwa ni kweli kwa baadhi ya wadada, hawafurukuti mbele ya magari, wanajiachia na kujitumbukiza kwenye hatari kiulaini! shame on them!
ume unakuja na id yako ya ukweeeee
nakumbuka kuna siku kwenye thread ya @
Kakakiiza alibwatukiwa na Zahra White ukaja kushadadia na id hii mie nikajua utajileta siku moja tuuu
nyooooo kinakuuma eeee kama wewe mbaya mbayaaaaa tu unawatongoza wenyewe wanakubwaga kucha kubadilisha id id uso na haya wewe
he he he he he jitambue mtoto wa kike anatongozwa siyo kujitongozesha na kuwaambia we will talk about tigo
nyooooo natamani nikupe nyota yangu ya kupendwa na wanaume at least upate wa kumsimulia
he he he kama wewe cheapest car ilikukufanya ukajipendekeza pole sanaaaa uzuri wanaume wanakuelewa mtu wa aina gani
id wakiimerge utaumbuuukajeeeee na soon wataimerge nitakuwekea list ya mabwana zako waliokukula na uliowataka wakakupiga chini
ilikuuuma eeeeee
mpaka ukampm El Magnifico kwa kufikiri na wewe utapewa passwords za atms teh teh teh
usifanye mchezo na mwanamke mwenye utamu
Mentor,Inside a Verossa he slowly took off her top and
As it came off her head, off also went all warnings from her mama,
Hahahah, kwamba as kitop kilichokuwa kinatoka ndivyo mausia ya mama yote yalivyotoka nayo.
#majanga Cc: dada Paloma. "Talaka uombe wewe, na tena uitoe wewe, lawama nipewe mimi.."
Nmemuona shemeji bana alah mpaka nimtaje!??
Hahahaha Kaunga naona umeipatia visual image kabisa inavyotokea...
Najua nyie ndo mwapanda vitz za kina Kipaji Halisi...ila effect ni hiyo hiyo..
Nitawaandikia na nyie soonest bwana Fidel80..muache hiyo!!!
Story yako ni ipi..acha ya besti yako..hehehehe
napanda bus
hata ukiwa na Bajaj kama mie unalamba mizigo ya maana tu, ntakujulisha baadae buy kikubwa wasikanyage chini, ndio tatizo lao kubwa kwahio hata kama utaweza kumbeba mgongoni lazima tundi utapataKumbe verossa dili hivyo eeeehh............ngoja nizikusanye
hata ambulance sisi hatuchagui hatubagui bora chombo cha motohata ukiwa na Bajaj kama mie unalamba mizigo ya maana tu, ntakujulisha baadae buy kikubwa wasikanyage chini, ndio tatizo lao kubwa kwahio hata kama utaweza kumbeba mgongoni lazima tundi utapata