Verossa

Verossa

ukimuona mwaJ, Kaunga na FP pia! wajulishe pia, kuwa amu na Bi Suu, wanamuhitaji koffi annan haraka, kabla wajageuza jf hiroshima!
ila kwani wewe ile PHD yako ya international conflict resolution hujamaliza?
maliza haraka bana!mwakani kuna naniihii ujue,i mean mwakani Asprin atakuwa na verossa sasa nataka ujiandae kabisa kujisuluhisha mwenywe kabla hujapresent ,sawa?
 
Last edited by a moderator:
eeeeeeeeeee mabwaku, i think i need :help:, hivi mimba yangu ni ya miezi mingapi vile? Asprin mkunga anataka kujua calender, uje pande hii upige mahesabu!
Kongosho yuko hapo chini!muite ana weza kukadiria mimba ina dakika ngapi
af konnie eh!hiv nilisema may kabla haijaisha kutakuwa na nini?sasa imefika july ndo hv!jipu ukililea sana lazima likupasukie kwenye nguo nyeupe walahi!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho yuko hapo chini!muite ana weza kukadiria mimba ina dakika ngapi
af konnie eh!hiv nilisema may kabla haijaisha kutakuwa na nini?sasa imefika july ndo hv!jipu ukililea sana lazima likupasukie kwenye nguo nyeupe walahi!
kwi kwi kwi! Kongosho nimekumith ujue!
 
Last edited by a moderator:
cacico na snowhite mimi si mbaya kwa kweli...mimi ni kama ndugu Yusufu alipoletewa habari na mariam kuwa ana ujauzito ilhali hamjui mume bado.

Swali langu likawa, "yawezekanaje haya?"
 
Last edited by a moderator:
platozoom mi nilijuaga una maakili ujue!
kumbe ah!
meniuzi sana mimi kwa maswali yako!
 
Last edited by a moderator:
ila kwani wewe ile PHD yako ya international conflict resolution hujamaliza?
maliza haraka bana!mwakani kuna naniihii ujue,i mean mwakani Asprin atakuwa na verossa sasa nataka ujiandae kabisa kujisuluhisha mwenywe kabla hujapresent ,sawa?
nina sup za kutosha! ni janga. na cuo cha diplomasia kurasini wamenitosa!
 
upo? za kinoclain?

Nipo shoga e!
Nawaangalia tu na kaka zenu mnavoshusha vina vya majanga!
Naomba ukitaka kusutwa,uniite.
Afu shosti sikuelewi ujue...nina hamu ya kuja Pm unipe umbea, lakini naogopa.
Nina maswali ya uzushi yamejaa gunia!
 
m-pm amu na mentor! mie nipo tu hapa nafurahia jamvi na Asprin et al! mzima lakini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom