Cc: Nivea, cacico, Asprin, Kaizer, KakaKiiza, amu Paloma snowhite na wote ambao hamkunisoma vyema
YAH: Rejea maneno in BOLD ITALICS UNDERLINED RED
Lift alipewa yeye, kupanda alipanda yeye, uroda alipewa yeye
kwanini kele nipige mie?
kwa sababu...
kutongoza nilitongoza mie, kukubaliwa nilikubaliwa mie, kusaidiwa kazi nikasaidiwa mie
Kwa nini nisipige kelele?
Sasa jiulizeni kwanini...
thread nianzishe mie, tena yanihusu mie, kutoa onyo kwenu nyie
kelele mzipige nyie?
Inahuu...
Tunaweza kujua ajenda za kikao na nani mwenyekiti?
natamanije sasa mimi kuwa mwenyekiti!
ehehhehehhe hii itanipa wasaaa na fursa kama sio nafasi ya kumuuliza mmoja mmoja chemba!
KWANI KUNA NINI! Kaizer pigemo basi kampeni niwe mwenyekiti!takuletea nukuu za somo darsani!
af nahisi CA yako itaimprove baada ya hili somo,hakyamama vile!
Hahahahah umemsoma Paloma lakini? Dabokebin ni mlori bana, mabinti wachangamkie vitz, starlet na verossa.
BTW mbona nakuona kama unamnyemelea mke wa ujana wangu cacico we bazazi. Hao uliowadengua hawajakutosha? Naskia una kismati sana ukitongoza hukataliwi. Ila kwa mai waif umegonga mwamba, funguo za papuchi yake natembea nazo.
Yuziful post hii aisome homuboi wangu Kaizer.
good boy!Ayam siting daun senkyu tichaaaa
Mabata madogodogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaniiiiii
Haya tudevelop..... Mentor mwaga vina, amu shusha mistari, cacico kam zis wei, Kaizer where are u @,
KakaKiiza nipigieeeee snowhite.... Development na hoja umbea....
Ni mimi tu ODM nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari
received, read and FILED for future use kwen chama....
Ayam siting daun senkyu tichaaaa
Mabata madogodogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaniiiiii
Haya tudevelop..... Mentor mwaga vina, amu shusha mistari, cacico kam zis wei, Kaizer where are u @,
KakaKiiza nipigieeeee snowhite.... Development na hoja umbea....
Ni mimi tu ODM nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari
Nasikia hata lidabokibini nalo linasoo!!CC cacico, Madame B, amu mwaa!!Ayam siting daun senkyu tichaaaa
Mabata madogodogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaniiiiii
Haya tudevelop..... Mentor mwaga vina, amu shusha mistari, cacico kam zis wei, Kaizer where are u @,
KakaKiiza nipigieeeee snowhite.... Development na hoja umbea....
Ni mimi tu ODM nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari
Ni mimi tu ODM nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari
chama cheni ni kikubwa sana i see!MNO!
kha!
mnakaribia kuanzisha jeshi ujue!!ah sorry mnakaribia kuwa na kikosi cha kujilinda!kuwa na jeshi ni ukiukwaji wa haki za binadamu na rasimu ya katiba !
Mwenyekiti kuna mtu anitaji kadi? Wapi Mdhamini wa Chama Bigiritawakati tunazungumzia reality on the ground miaka kama minne iliyopita, hadi tukawa na katiba yetu, watu walidhani siye 'hatumalizi 2013' kama CDM (well hata CDM naona watafika 2015)
leo hii, watu 'wanagombea' kuingia! tena basi kwa fujo...ndo hapo imebidi kuanzisha kikosi cha kujilinda.....I mean sio brigade in the strict sense....umenisoma mwalimu wangu snowhite?
Hii aione Asprin, Teamo, The Boss, RR Fidel80, MwanajamiiOne na wengineo
BCC cacico
haya nijikalie pembeni mie wengine wanaongelea mambo ya education huko wengine verossa humu hakianani tumeumbwa tofautiwe nawe mpana! Utaseba pazia la leba! Hebu kaa pembe kwanza, zamu yako ikifika utakuwa huna mpambe ujue!
wakati tunazungumzia reality on the ground miaka kama minne iliyopita, hadi tukawa na katiba yetu, watu walidhani siye 'hatumalizi 2013' kama CDM (well hata CDM naona watafika 2015)