ahahahhahahha sasa shemeji hebu kaa chini kwanza uniambie bana!
Kaizer na
Asprin please hebu niacheni nilonge na shemeji yangu!
mke mwenza uwe unanisaidiamo kusoma!
SASA shemeji kwani wewe ulimtongoza AU/ukamkula a fine MRS ME!?
Asprin shiiip kwayat!
snowhite, umeniita shemeji!?? kwa dada yako yupi ulonioza kwake???! usinchurie...
baki to topic...
Ni hivi,
huyu binti somebody alikuwa wangu bikoz ni mimi nilimrushia mistari...
miezi kadhaa baadaye akanambia nimem-mimba...
ngastuka! mbona tulitumia chujio kumimina chai kwenye thermos, iweje chai bado iwe na machicha...
kuchunguza vyema nikagundua kuna jamaa mwenye verossa alifanya mambo...
nikaona nijiweke pembeni kuepuka msongamano...
mie mwenyewe daily nagongea lift ya
Remmy na
Paloma
sasa basi...
katika machungu hayo nikakaa chini nikaandika beti hizi mbili tatu...
nikagundua yafuatayo...
kumbe verossa imebeba wengi zaidi ya huyu dada yako niliyemtongozaga...
kumbe si verossa peke yake hata cellica inahusika...
ala! hadi vits, duet na bajaji...
watu8 akasema, kuna nguvu ya uvutano kati ya jinsia -ke na vyombo vyenye matairi...
chips mayai tu zinatosha...
dada yako huyu alikuwa awe mrs.
Mentor hapo mbeleni, ndiyo maana nikaandika 'a future Mrs. Me'...
kimbembe...
watu wakaanza kusemana na kutajana...
sasa kuniondolea mimi lawama waulize wafuatao:
amu,
Asprin,
Paloma,
KakaKiiza,
Kaizer,
cacico, shem
Nivea (tena unitake radhi),
Nicas Mtei,
Bi Suu,
Kimey,
Mtambuzi mimisa et al...
Verossa....