amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
m-pm amu na mentor! mie nipo tu hapa nafurahia jamvi na Asprin et al! mzima lakini?
aiseee kwa hiyo mimi ndo nina pm za umbea???
Nyie ongeeni huko anayeona nimeandika pm ya umbea aomba afowadiwe kisha aniniforwadie mie baada ya hapo ndo tutaongea ila maneno matupu kelele a debe sizitaki.
CC Mentor KakaKiiza snowhite Nivea gfsonwin snowhite na simu za kifala za kujihisi hisi sizitak.
Nimemaliza karibuni juice ya ndimu
Last edited by a moderator: