Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

Ndo nani uyu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani katika watu ambao vipodozi vimewakubali huyu demu namba moja aisee

Hata value yake imepanda mara dufu tofauti na hapo awali


Nimempenda sana baada ya kujichubua
hahahaha
mi pia nime mpenda kweli kweli
japo sisapoti kujikoboa
lakin kama ni kwa transformation hii nampa pass kabsa
 
ina maana hadi wowowo ni matokeo ya kipidozi?


Mchina anahusika kwenye hayo makalio. Mademu fake wananichefua kishenzi.....yaani hata kuwaangalia mara mbili siwezi nasikia kichefuchefu tu. Mungi si mpumbavu kumuumba mwanadamu kivyake.
 
hapana infact napenda watoto weusi
ila nimelingamisha uta expect mtoto atakuwa kama vera mpya lain anakujankutoka kama vera wa mwanzo yule
lazima unakuwa dissapointed
Hhhhaaaa alivyo mjanja atazaa na mzungu au mwarabu
 
Cha kushangaza ni kwamba hawa wanawake wanaojichubua na kuonekana kama wazungu wakija kuzaa watoto wao wanakuwa weusi wa asili yao kabla hawajajichubua....sasa hapa fahari ni nini?
Pia waweza kuwa mweupe ukazaa mtoto mweusi
Na weusi pia huzaa watoto weupe
 
Hhhhaaaa alivyo mjanja atazaa na mzungu au mwarabu


Mtu mjanja anachezewa papuchi hata na msanii wa bongo fleva? Huyu amekuwa demu wa dharura ama togwa ya msibani inayochotwa na kila mtu mchafu mwenye kiu. Sasa angalia kachoka kutoka na wanaume amekwenda kutoka na mse.nge a.k.a. Caitlyn Jenner ili amfile, si balaa hii tena?
 
Back
Top Bottom