Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

Ukinywa maji mengi kila siku ya Mwenyezi Mungu wawa hivi (Ray Kigosi)
 
Utamu itabadilika au atabaki na utamu wake original?ukimuona sasa unaweza dhani k ipo wet,kumbe bado kavuu haikabadilika

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Kwani watoto weusi ni wabaya?
Itakuwa Hathaway kukuona,ndio sababu hajui,nami nasema,kama hajawahi kukuona,hakina hajawahi kumuona black beauty dunia nzima

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 541318Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi.
Ndo maana napenda mademu weusi akiwa mweupe awe mzungu.i like natural,hawa waafrika weupe akiugua akalazwa hospital bila vpodozi japo wk 1 tu,utahisi mwenza wako siyo atakavyo badilia utashangaa[emoji15]

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Makinikia yana waharibu sana. Alikua mzuri sasa kajikoboa na modifications za matako.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyewe Baada ya kuhojiwa etiiii Wakati yupo Cheusi Dawa Wanaume wengi walikuwa wakimuacha for white chic's.Akaona aahhhhh Ngoja niwakomeshe.And now anawapangaa tu mana wengi Kumbe wanapenda vyeupe!!(Wanaume Mungu anawaona)Sijui vidonge alivyomeza kama vimeacha mayai Hata kidogo.Huruma sana mwanamke mwenzetu.

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
Hivi vidonge havinaga expiry date? ? Nawaza asije kurudia rangi yake some ten years later! Au ni renewable?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Namshauri atafute dawa itakayo badilisha mtazamo wake. Ni kumkubali Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako.
 
Back
Top Bottom