Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,358
- 5,845
2)Zari 3)HudahHuyu ni miongoni mwa wanawake wajinga zaidi Duniania, asaidiwe kueleweshwa madhara ya alichokifanya Duniani hata Akhela
2)Zari 3)HudahHuyu ni miongoni mwa wanawake wajinga zaidi Duniania, asaidiwe kueleweshwa madhara ya alichokifanya Duniani hata Akhela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ni muhenga aliyesema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Ndio hivyo mkuu mbele ya pesa hakuna kinachoshindikanaSi kweli,.. Siamini nachoona is it!? X#Y
[emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseee makinikia yaleeee
hata mimi kwa kweli nimempenda baada ya kuchubua .Mwenyewe Baada ya kuhojiwa etiiii Wakati yupo Cheusi Dawa Wanaume wengi walikuwa wakimuacha for white chic's.Akaona aahhhhh Ngoja niwakomeshe.And now anawapangaa tu mana wengi Kumbe wanapenda vyeupe!!(Wanaume Mungu anawaona)Sijui vidonge alivyomeza kama vimeacha mayai Hata kidogo.Huruma sana mwanamke mwenzetu.
Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
Ni mtu mmoja huyoMbona naona ni watu wawili tofauti hawa?
Ha ha ha ha haDuh. God is watching her
Uzuri gharama [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh makubwa hela yote hiyo!
Arudishe mara ngapi sasa?atarudishaje hizo gharama zote!huyo ni mwanaume tu ndio anawindwa hivyo!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]alitumia dollar elf 60 kujibadilisha
ndio maana ana zitafuta kwa uchungu maana aliwekeza hapoalitumia dollar elf 60 kujibadilisha
Kwanza watu wake wa zamani hawawezi kumtambua. Labda ajitambulishe upya. Hao ni watu wawili tofauti.Kujitambua muhimu, ivi wanakuwa hawaoni haya wakikutana na watu wao wa zamani
Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani katika watu ambao vipodozi vimewakubali huyu demu namba moja aiseeila ki ukweli sasa kawa mzuri
tuwe wakweli.
lakin hawa wanawake nduo unamchukua unajua mta zaa kitoto ki rembo pia, halafu kina toka kibaya na cheusi tii, kumbe kimerithi kwa original mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila sasa hivi amenoga .
Ya zamani kafanania "mhenga"
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app