Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,747
Mbona naona ni watu wawili tofauti hawa?Huyu ni miongoni mwa wanawake wajinga zaidi Duniania, asaidiwe kueleweshwa madhara ya alichokifanya Duniani hata Akhela
alitumia dollar elf 60 kujibadilishaina maana hadi wowowo ni matokeo ya kipidozi?
Ni macho yako au pengine hunfuatilii huyu Vera,yeye na shogake Huda wote wamebadili uumbaji wa M/Mungu alivyowaumbaMbona naona ni watu wawili tofauti hawa?
Mmh makubwa hela yote hiyo!alitumia dollar elf 60 kujibadilisha
Kweli simfuatiliagi!Duu!sasa wasubiri mshahara wake!Ni macho yako au pengine hunfuatilii huyu Vera,yeye na shogake Huda wote wamebadili uumbaji wa M/Mungu alivyowaumba
atarudishaje hizo gharama zote!huyo ni mwanaume tu ndio anawindwa hivyo!Mmh makubwa hela yote hiyo!